Chid Benz ametoroka sober house
Chid Benz amedaiwa kutoroka sober house baada ya kukaa muda wa mwezi mmoja, watu waliokuwa wanamuangalia wanasema inawezekana alikuwa hajazoea kukaa kufungiwa kila mara ndio maana akaondoka lakini...
View ArticleYoung Dee: Mimi situmii unga, ila ni cha-pombe mkubwa
Young Dee amekanusha tena uvumi ulioenea mitandaoni kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya. Akiongea kwenye kipindi cha Harakati cha Clouds FM kinachoendeshwa na Kalapina, rapper huyo...
View ArticleNatafuta sura halisi ya Soudy Brown wa CloudsFM
Tsup. KWA WASIOMJUA: Soudy Brown ni Mtangazaji Maarafu Wa Clouds FM katika kipindi cha XXL kwenye sesion ya YOU HEARD. Tumezoea kuziona picha za huyu jamaa akiwa na Mask usoni. Yaani jamaa amefanikiwa...
View ArticleSugu asanda, aipromoti Clouds na leo ataunguruma Clouds 360
Katika hali isiyotegemewa nimeona Mh sugu aka kinega akiwa a me post katika ukurasa wake wa insta kuwa leo ijumaa atafanya ziara Cloudsmedia group. Tuseme clouds ndiyo empire hawamshindwi yeyote?
View ArticleHaya mashindano aliyo shinda Diamond jana sijawahi kuyasikia!
Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini? Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku utakutana na...
View ArticleDid Suge really force Jay-Z to pay tribute to Tupac?
I heard this. Back in the day, Jay used to be very tight with Dr Dre. Jay wanted "clearance to the West" (security), specially after having been dissed by the GOATPac Shakur who rep'd the West. After...
View ArticleWema sepetu'' natumia tsh milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu"
Msanii wa filamu, Wema Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja. Pia hutumia Sh 30,000 ya chakula kwa siku na kama atanunua na chakula...
View ArticleMiaka mitatu ya kifo cha Mangwea.. Je unakumbuka nini?
Leo ni miaka mitatu tangu bingwa wa michano na mkali wa muziki wa kizazi kipya mwenye kipaji cha kipekee Albert Mangwea atutoke. Ni mazuri yapi unayokumbuka kutoka kwake? Mimi nakumbuka siku anachukua...
View ArticleTanzia: Mmiliki wa baa maarufu Magomeni Hussein Macheni ameaga dunia ghafla...
Mmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumbani kwake Magomeni. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ni...
View ArticleHuu mchezo hauhitaji hasira
Nafurahi sanaa kuona wale watu ambao ni wageni kwenye Music wanafanikiwaa!! Ray na Harmonize kwa show wanazopiga sahizi hakika hawatamsahau Diamond,airtime wanayo ipata sahizi hakika hawato msahau...
View ArticleDeal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..
Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa...
View ArticleWolper ni mke wangu, bado ubani tu – Harmonize
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu. Uhusiano...
View ArticleHaya mashindano aliyoshinda Diamond jana sijawahi kuyasikia!
Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini? Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku utakutana na...
View ArticleWema Sepetu anakoelekea siko
Ujumbe huu ni wa kwako Wema Abrahamu Sepetu. nosly said: ↑ Hii si hali ya kawaida. Kama ni kweli anatumia madawa ya kuongeza makalio kama tetesi zilivyo, basi hali imefikia pabaya. Video hii...
View ArticleWema Sepetu atia neno kuhusu BET Awards
Muigizaji Wema Sepetu kupitia account yake ya Instagram ameonyesha nia ya kumuombea kura mpnz wke wa zaman Diamond Platimumz kwa kuandika maneno kadha japo hakumtaja kwa jina wala kuweka picha yake...
View ArticleMateso ya Jackline Wolper
Habari, Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba. Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada...
View ArticleWema Sepetu: Natumia TZS Milioni 1.2 kwa wiki kwa ajili ya nywele zangu
Msanii wa filamu, Wema Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja. Pia hutumia Sh 30,000 ya chakula kwa siku na kama atanunua na chakula...
View ArticleWatanzania hatumtendei haki Vanessa Mdee
Vanessa mdee ni msanii pekee wa kike wa Tanzania anaefanya vizuri Africa kwa ujumla, ukichukua wasanii 5 wakike bora africa kwa sasa huwezi muacha vanessa mdee hata nominations mbalimbali za tuzo kubwa...
View Article