Katika hali isiyotegemewa nimeona Mh sugu aka kinega akiwa a me post katika ukurasa wake wa insta kuwa leo ijumaa atafanya ziara Cloudsmedia group. Tuseme clouds ndiyo empire hawamshindwi yeyote?
↧