Hiki ndicho WCB na Jay Z na Beyonce wanafanana
Mwaka huu Beyonce ametengeneza vichwa vya habari duniani si tu kwa kushtukiza tena kwa album mpya ‘Lemonade’, bali kwa jinsi alivyoamua kuitumia kuelezea kwa mara ya kwanza skendo ya muda mrefu kuhusu...
View ArticleLigi ya Madam na Mchaga..
Maselebriti watu wazima, Madam wa Biesiesi na huyu Jacky Mchaga wanafanana sana tabia.. Hawa ni ndege? Nachozungumzia ni tabia ya kuruka na vi-underage.. Imo damuni mwao! Nisameheni mie sijui kuandika...
View ArticleHarmonize: Wolper ni mke wangu, bado ubani tu
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu. Uhusiano...
View ArticleTujikumbushe Big dogg pose(BDP kamili)
View attachment 350920 Hili ni moja ya kundi la muziki ambalo halipewi heshima inayostahili. Kundi hili lililoanza katikati ya miaka ya tisini likiundwa na wasanii 3 drezzy chief,computer na clonic...
View ArticlePete ya uchumba ya Jacklyn Wolper
September 2015 ilikuwa hivi View attachment 342704 View attachment 342705 Leo April 27 2016 yamekuwa haya View attachment 342706 View attachment 342707 View attachment 342708 View attachment 342709...
View ArticleBBC News: Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry?
Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? - Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? Habari zenu wadau, Kuna taarifa zimetolewa kwenye chombo cha habari bbc kumuhusisha mwanamuziki Bieber na...
View ArticleMsanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"
Habar wakuu! huku wengine wakiendelea kujivunia kuchora mitattoo ya bei ghari na meno ya dhahabu. Msanii wa kimataifa Alikiba yeye aendelea kuitumia vyema karata yake baada kupata Shavu la sony global...
View ArticleALIKIBA Tv(wizi mtupu)
Nimepita sehemu nkasikia eti alikiba anaanzisha tv yake na watu mishipa ikawasimama wakidhani tv yenyewe itakuwa kama east africa tv ama clouds tv, ukweli ni kwamba Tv ya alikiba haitakuwa tofauti sana...
View ArticleDiamond Platnumz na vito vya thamani kwenye meno
Habari wakuu. Nilikuwa nazunguuka mitandaoni nikajikuta nimetokea kwa Instagram ya DIAMOND na kukuta video ikimuonyesha kaweka vito vya thamani kwenye meno sasa mimi sijui kama ni dhahabu,almasi, shaba...
View ArticleHanscana, bakiza hela zetu Tanzania!
Kama kuna director wa video za mziki anayejituma na kufanya kazi nzuri huyu dogo ni namba moja kwa sasa hapa bongo! Huko nyuma walikuwepo Wananchi Video Production, wakaja Visual Lab wakawapoteza...
View ArticleTumeumbuka! Shilole na Vanessa wameonyesha Watanzania tulivyo wambea!
Ukinitoa Mimi tu humu na baadhi wawili watatu hatumo kabisa katika huo mkumbo wa " UMBEA " ambao umewakumba members wengi humu juu ya SAKATA zima lililokuwepo hapo kabla. Ni kwamba wiki mbili...
View ArticleShilole: Kuanzia sasa sitaki wanaume Suruali
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa...
View ArticlePicha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini....
View ArticleYoung killer: Chief kiumbe akinipa ndinga Sikatai
Msanii Young Killer ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya akiwa na Mr Blue amefunguka na kusema kuwa ikitokea Chief Kiumbe amempa gari hawezi kukata sababu hakuna mtu ambaye anapenda maisha...
View ArticleWolper: Lazima nimzalie Harmonize
MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”...
View ArticleHii ndiyo zawadi aliyopewa Mose Iyobo na Diamond na ameandika maneno haya
View attachment 352024 Hii ndiyo zawadi aliyopewa Mose Iyobo na Diamond na ameandika maneno haya.
View ArticleKumuita Diamond msanii wa kimataifa ni kichekesho
Kwa sie wapenzi wa Ndomo,yawezekana itachukua muda mrefu sana kulisahau hili tamasha la fiesta 2014 maana limekuwa kama mkuki kuchoma kwenye kidonda,wakati mashabiki wake tukijua na kuamini Diamond...
View Article2nd June Rich Mavoko Kwenda Kusign WCB unatia aibu
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!11 Mniache niko kwenye Shaaban, najiandaa na Ramadhan. Tusi lolote utalo nitukana nakujibu kabisaa BABA YAKO MZAZI. Nchi huru hii sijakutumia...
View ArticleWCB, WADAU Hamuwatendei haki Ben Pol, Belle 9 na wengineo!!
Nimeliona hili na nikaona si mbaya kushea na wanajamii!! Tanzania tumebarikiwa vipawa vya wanabongofleva vya kutosha na maridhawa kabisa!! Tumekuwa na wanamuziki wazuri hasa na kwa uchache nimewataja...
View ArticleWema awafungukia wanaomsema kutembea na Bajaji
STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu...
View Article