![[IMG]](http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/d7b249edf38e5ba2e9bc100efc26346a.jpg)
Young Dee amekanusha tena uvumi ulioenea mitandaoni kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya.
Akiongea kwenye kipindi cha Harakati cha Clouds FM kinachoendeshwa na Kalapina, rapper huyo amesema tokea akiwa mdogo amekutana na mambo mengi ya kuzushiwa.
“Hata mimi nasikia sana,” alijibu alipoulizwa kuhusu tetesi za kutumia unga.
“Unajua mimi nimekuwa kwenye muziki tokea niko mdogo maana tokea...
Young Dee: Mimi situmii unga, ila ni cha-pombe mkubwa