Nahisi ugeni wa mambo ndo unachangia kwa mwenye uelewa na hii tuzo anaweza kutwambia inahusu nini?
Maana naona Insta kumechafuka sanaaa ni Diamond na Mkandaa huu alio shindaa,ukiendaa huku utakutana na wimbo wa Raymond Natafuta Kiki,ukisema ukimbilie huku utakutana na Harmonize na Clip yake akisakamwa yaani vurugu tupuuuu! Watu wamesahau hata kama Alikiba Alitoa wimbo Wa Aje wiki moja iliyo pita,wameshasahu kama Alikiba anaendelea Ku announce major announcment,wameshasahau hata annoucment...
Haya mashindano aliyo shinda Diamond jana sijawahi kuyasikia!