Ushauri kwa mmakonde mwenzangu Harmonize
View attachment 350847 View attachment 350848 NIMEMPA MANENO KILUGHA SASA AKILI KICHWANI MWAKE Wako kaka hamornize uve nkukumbuka apanu pachilambo ufete chani?... anayemwali waa akave mmaeeh...
View ArticleJoto la asubuhi (Hando,PJ,Adela) vs Power Breakfast (Masoud, Fredwaa, Barbara)
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha Power Breakfast cha clouds Fm....Lakini nna kama wiki sasa nimekuwa niki interchange kati ya Power Breakfast na Joto la asubuhi cha Efm...Na sasa naona navutiwa...
View ArticleMillard ayo unatuangusha
Buenos noches Huyu kijana naweza sema ni mtanashati na mbunifu sana kwenye tasnia ya habari, anatumia vizuri social media kutufikishia habari ontime na uncernsored. Kupitia youtube channel yake pia...
View Articlembwiga wa mbwiguke nini maana ya dinyaalile dinyala?
bwana mbwiga huu msemo wako unamaanisha nini?
View ArticleYooooo"""(kiba), Wasafiiii(mond),,okey,, (shetta) wapenda kibwagizo kipi?
Wasanii hawa,, wamejijengea majina kwa kupitia vibwagizo vyao... ukivisikia tuu unajua..anayeimba ni nani... swali wapenda kipi hapooo... mimi nikisikia "okey" yan basiiii....
View ArticleMateso ya Jacklyn Wolper
Habari, Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba. Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada...
View ArticleLe Baharia amuonya Diva Loveness
Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati...
View ArticleLady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"
Katika Naamka Concert wakati akiimba wimbo wa "siwema" kuna kale kamstari [emoji445] eti sababu yeye ni mzuri sana[emoji444] siwezi kupata mwingine kama yeye[emoji444] , jide akamalizia kichwa kama...
View ArticleChidi Benz atoroka sober house, yadaiwa alikaa siku 28 tu
Wakati wadau wa muziki wakifahamu kuwa msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwilo ‘Chidi Benz’ yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya‘sober house’ kilichopo Bagamoyo...
View ArticleMateso ya Jackline Wolper
Habari, Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba. Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo baada...
View ArticleMatangazo ya mitandao MPOKI VS JOTI nani zaidi...??
Wadau haya twende kazi nani unayemuona zaidi ya mwingine kati ya mpoki na joti matangazo ya mitandao ya vodacom na Tigo, Mi kwangu mpoki kwenye hili tangazo la vodacom la "Hapa kasi tu"jamaa anajua...
View ArticleHatimaye moyo wa Nay wa Mitego wadondokea kwa mtoto mzuri wa Kiethiopia
Miezi michache tu baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuripotiwa kutoka na msichana anayejulikana kama Chaga Baby, hivi sasa yupo na mrembo raia wa Ethiopia (Mhabeshi)...
View ArticleNape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu
Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema. Aliyasema...
View ArticleMazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yagonga mwamba
Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yamegonga mwamba, imebainika. Wiki hii video ya Wayne akiidiss Cash Money imesambaa mtandaoni. Mazungumzo hayo yalikuwa ni kumaliza madai yaliyotolewa...
View ArticleHiki ndicho WCB na Jay Z na Beyonce wanafanana
Mwaka huu Beyonce ametengeneza vichwa vya habari duniani si tu kwa kushtukiza tena kwa album mpya ‘Lemonade’, bali kwa jinsi alivyoamua kuitumia kuelezea kwa mara ya kwanza skendo ya muda mrefu kuhusu...
View ArticleAlikiba Akubali ushauri wa Shabiki
Naweza kusema kwamba huu ni ukomavu kimziki kwa Alikiba baada ya kuona post hii huko instagramuni. kinachotakiwa sasa ni sisi mashabiki kuendelea kumpigia kura Diamond ili tuzo irudi nyumbani na...
View ArticleHawa clouds fm ni wa ajabu sana jamani
Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea. Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii wengine...
View ArticleWatangazaji hawa ni aibu kwa radio station
Nimesikitishwa na kushangazwa sana kuona radio Hii, Tena iliyopo jijini Dar Kuwa na watangazaji wabovu kama hawa. Hadi mgeni Jide kawaona kituko. Jionee hapa
View ArticleWema Sepetu: Najuta kutoa mimba ya Marehemu Kanumba
View attachment 350824 Katika Mahojiano yake na Waandishi wa Kampuni ya New Habari(2006) Ltd,Wema Sepetu anaanza kwa kusema "Nilipokuwa na uhusiano na Marehemu Kanumba,nikiwa naishi na wazazi...
View Article