Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Natafuta sura halisi ya Soudy Brown wa CloudsFM

$
0
0
Tsup.
KWA WASIOMJUA:
Soudy Brown ni Mtangazaji Maarafu Wa Clouds FM katika kipindi cha XXL kwenye sesion ya YOU HEARD.

Tumezoea kuziona picha za huyu jamaa akiwa na Mask usoni.

Yaani jamaa amefanikiwa kiasi kikubwa katika zoezi la kuificha sura yake, Maana kuna mpaka baadhi ya wasanii wakubwa Bongo ambao pia hawamjui
licha ya kwenda mjengoni(clouds) mara kibaao.

SASA WAKUU MWENYE PICHA YA SOUDY BROWN INAYOONYESHA SURA YAKE BILA MASK TUNAOMBA AITUPIE ILI TUMJUE...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Trending Articles