Rose Muhando sasa next level Sony Music
SONY SIGNED ARTIST ROSE MUHANDO RELEASES A VEVO CERTIFIED VIDEO Taking gospel music to new heights, after being signed by Sony and being a day away from her album launch (scheduled for 15th of Dec),...
View ArticleGigy Money anatoka na Matonya
Kutokana na fununu zilizozagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke Gigy amefunguka kuwa kwa sasa anatoka na Matonya pia na sio big deal, japo ana mke “Yeah ni...
View ArticleAli Kiba The Greatest Faker Of All Times! Youth Take Notes How To Win Big In...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama kawaida KUBWA LA MAADUI nitachambua kauli yangu kwa kina. Well researched, well written, full detailed. Throw Back...
View ArticleDeal ya Ali Kiba na Sony, Makosa yanayojirudia
Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa...
View ArticleChanzo cha mauaji ya Tupac Shakur na Biggie Smalls
Tupeane ukweli kuhusu vifo vya hawa manguli wa hip hop walijipatia umaarufu wa kipejee katika historia ya hip hop, hawa walikua marafiki ila baadae walitofautiana na kuwa maadui wakubwa kabisa pia...
View ArticleAli Kiba asaini mkataba na Sony Music, South Africa
Leo Akiwa South Africa Alikiba Amesign Sony Music ,Lebo hii ambayo inawasimamia akina Chris Brown,Davido na John Legend itakuwa na Kazi ya kutangaza video na Audio za Alikiba Kimataifa na Duniani kote...
View ArticleAIRTEL TRACE MUSIC STAR: Mayunga atoa wimbo wake na Akon - Please don't go away
View attachment 348285 Huyu dogo alishinda tuzo ya "Airtel Talent" pale Nairobi Kenya na baadae akapata offer ya ku-record wimbo na Akon. Kabla ya hapo alikuwa ameimba na Mr Blue. Kwa sasa "single"...
View ArticleE-40 is mafia.
Back in the day, The "New York king" Notorious Big, said some disrespekful about Bay-area's Emperor, E-40. Apparently, Big had an interview with this magazine, where he was asked to rate Bay-area's...
View ArticleLady jaydee ni mjamzito
hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na jamii...
View ArticleGadna amjibu Jide, akataa kuomba msamaha
View attachment 349172 View attachment 349173 Haya ndio majibu ya G Habash kupitia mwanasheria wake.
View ArticleGardner Amjibu Lady Jay Dee, Agoma kuomba Radhi
Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha. Katika...
View ArticleVideo:Msanii NEYO awasili jijini Dar kupiga show
Msanii wa RnB kutoka Amerika maarufu kwa jina la Ne-yo amewasili leo jijini dar kwa ajili ya kupiga sho
View ArticleBaby Madaha: Mwarabu kanituliza, na kweli sasa nimetulia
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina. Baby yupo mbioni kuachia video ya wimbo...
View ArticleKama ni kweli kwa ajili yako
Asante Diamond baba tiffah kwa kuruhusu video yetu AJE ipigwe MTV mfululizo.
View ArticleLucy Komba agoma kumzalia mzungu wake
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe , imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya...
View ArticleShilole: Kuanzia sasa sitaki Wanaume Suruali
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa...
View Articleukweli kuhusu deal ya kiba
kwako wewe lemutuz akili ndogoz ambaye uzalendo ni pale kunapikuwa na mazuri ya ndomo tu..shame on you wote mnaoponda msichoelewa Alikiba Becomes the Second African Artist to Sign a Global Music Deal...
View ArticleAlli kiba na Ben Pol wamepotea kimuziki
Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma na R...
View ArticleKumekucha! Jide ajibu mapigo ya nyodo kwa Gadner
Waswahili au Wahenga huwa na msemo wao usemao " ukianza wenzako wanamaliza " au " ukilijua hili wenzako wanalijua lile ". Hii misemo miwili sasa imeanza kumaanishwa kwani wiki mbili tu zilizopita...
View ArticleNDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City
Tickets za VIP zimekwisha Unaweza kuendelea kununua tickets za 20,000/= kupitia vituo vifuatavyo OMGift Shop Dar Free Market Shear Illusion Mlimani City American Nails Salon Kinondoni Na Jackies Bar...
View Article