![[IMG]](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/madaha-1024x1024.jpg)
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.
Baby yupo mbioni kuachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Corazon’ unaofanyiwa video yake nchini Dubai kwenye makazi yake mengine.
“Kwa sasa ninaishi nchi mbili, nipo Tanzania na pia nina makazi yangu mapya huko Dubai, nimeolewa na Mwarabu na...
Baby Madaha: Mwarabu kanituliza, na kweli sasa nimetulia