Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International...
Mwanamuziki Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz amekuwa ni msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutajwa katika orodha ya wasanii watakaowania tuzo za BET 2016. Tuzo za BET mwaka huu...
View ArticleAlikiba ajifunze kiinglish
huwa najiuliza itakuwaje siku Alikiba akiambiwa atoe jalo spichi ya Dk 10 kwa kiinglish sijui itakuwaje. kama kunamtu kashawahi kumuona au kuna video ya alikiba akiongea katika interview zaidi ya dk 5...
View ArticleNdoa ya Thea kaa la moto
Mastaa wa Filamu Bongo waliokuwa wanandoa, Mike Sangu na Salome Urassa ‘Thea’ wamepelekana kwa padri wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Mwananyamala jijini Dar kwa ajili ya hatua ya kutalikiana. Chanzo...
View ArticleMsanii wa Kimataifa Alikiba kwenye headlines tena baada ya kupata dili nono...
Msanii wa Kimataifa "Alikiba" anayetamba na kibao cha #Aje aendelea ku-make headlines Africa na dunian kote hasa baada ya kupata dili nono, Baada ya Kuwa offical brand ambassodor wa kampni kubwa la...
View ArticleAlikiba kama Donald trump, Soundcity wampa heshima hii leo
Msanii wa Kimataifa Alikiba aliye label moja ya Sony na wasanii wenzake Chris briwn, John legend, Beyonce, Davido etc, Leo hii amendelea kuchukua headlines kama Dinald trump wa marekani, baada ya...
View ArticleUkweli kuhusu deal la Kiba
kwako wewe lemutuz akili ndogoz ambaye uzalendo ni pale kunapikuwa na mazuri ya ndomo tu..shame on you wote mnaoponda msichoelewa Alikiba Becomes the Second African Artist to Sign a Global Music Deal...
View ArticleNapenda kuwafahamu wasanii walioimba matangazo haya!!
Uzi huu ni maalum kuwatambua wasanii wanaoimba katika matangazo mbalimbali kwenye redio na luninga zetu bongo. Huwa yanavutia sana kwa sauti za kupendeza. Napenda kuwafahamu walioimba matangazo...
View ArticleAli Kiba, The Greatest Faker Of All Times! Youth Take Notes How To Win Big In...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama kawaida KUBWA LA MAADUI nitachambua kauli yangu kwa kina. Well researched, well written, full detailed. Throw Back...
View ArticleFid Q: Rado ni msanii pekee aliye ni-diss kwa mistari mikali kuliko msanii...
Baada ya lile bifu la siku nyingi kati ya rapa kutoka mwanza Fareed kubanda a.k.a Fid Q na msanii mwenzake Rado kutoka lebel ya Kiraka Rado,hatimaye Fid Q amekiri kuwa Rado ni msanii pekee aliyemdiss...
View ArticleZari anaposema tatizo ni Diamond, hii ndio maana yake
Watu wengi wanashindwa kumuelewa Zari anaposema tatizo ni Chibu yani Diamond. Ali Kiba akitoa wimbo mashabiki wake wanakimbilia kwenye page za Diamond au watu wa karibu yake kulazimisha wausapoti uwezi...
View ArticleModerator unaondoa thread zangu
Post zangu unafuta na sijandika matusi hata moja leo mara ya pili majuz nlipost kuhusu mbowe na elim yake ikafutwa leo nimepost kuhusu diamond na clouds siion jaman au kunatatizo
View ArticleBifu kali kati ya diamond na clouds media
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa diamond na brand kubwa ya radio na tv clous fm bifu la hadharani. Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo...
View ArticleLady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"
Katika Naamka Concert wakati akiimba wimbo wa "siwema" kuna kale kamstari [emoji445] eti sababu yeye ni mzuri sana[emoji444] siwezi kupata mwingine kama yeye[emoji444] , jide akamalizia kichwa kama...
View ArticleHatimaye Kiba kumkaribisha Diamond.
Pasipo na ubishi wala kuteteleka hili ni jambo zuri ever...baada ya Msanii Mkubwa kumtaka msanii mwenzake ambaye naye ni Mkubwa aje...nijambo jema! Nahisi huu ugomvi wale waliokuwa wananufaika nao,sasa...
View ArticleLulu na Gigy Money ndani ya mtifuano
MASTAA wawili wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wamejikuta wakiingia kwenye mtifuano mkali baada ya kutoleana maneno machafu. Ishu ilianzia kwa Gigy ambaye alisema...
View ArticleShetta: Sitaki kukutana na watu
Mwanamuziki Sheta amesema kwamba kutokana na ratiba yake kuwa ngumu hapendi kukutana na watu na hata sasa amehama Kijitonyama chanzo Clouds sasa hivi
View ArticleShilole: Kuanzia sasa sitaki wanaume Suruali
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa...
View ArticleTalaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha
Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi. Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange kaachwa...
View ArticleBeef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva
1. Afande Sele vs O Ten Hawa wote ni vijana kutokea Mkoani Morogoro kwa kirefu walishawahi kati beef ambayo kwa kiasi flani ilikuwa gumzo 2. Dudubaya vs Mr Nice ugomvi kati ya Dudubaya na Mr Nice...
View Article