![[IMG]](http://2.bp.blogspot.com/-IGpBTbmKVoY/Vz7EkmtqL5I/AAAAAAAA8iM/YILoWX-_7UETDKyXCS7ooYt7JEy-XLv3ACLcB/s1600/3.jpg)
Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha. Katika majibu yake amekana madai hayo.
Siku chache zilizopita, Gardner alionekana katika kipande cha Video akisherehesha tukio la kumsaka mrimbwende wa chuo cha Tanzania...
Gardner Amjibu Lady Jay Dee, Agoma kuomba Radhi