Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Browsing all 12682 articles
Browse latest View live
↧

Kumbe Wizkid aliomba pesa nyingi hivi!

Linah leo amefunguka kuwa anampango wakufanya Collabo na msanii wa Nigeria Wizkid,Linaha amefunguka kuwa alilazimika kutafuta contact za Wizkid na kuanza kuchat nae na kuomba kufanya nae Collabo na...

View Article


Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

Mwanasheria Albert Msando ambaye alipata ummarufu kupiti CHADEMA alipo ukwaa udiwani wa moshi na kupata shavu kadhaa za uwakili sasa ameonesha nyodo za kutosha kupitia ukurasa wake wa instagram kwa...

View Article


Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Ni muendelezo wa vita ya maneno isiyoisha kati ya anayejiita Zari The Bosslady na wa kuitwa Tanzanians sweetheart Wema Sepetu. Vita hiyo imeendelea leo kwa Zari kuanza kumtupia mafumbo mwenzie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke

Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Idris Sultan kuweka wazi kumpa ujauzito bidada Wema Sepetu kupitia katika account yake ya Instagram Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa Idris amempa heshima na...

View Article

Carol Ndosi wa Siasa za Siasa EATV

Wadau, Huyu Dada anayeitwa CarolNdosi nimekuwa nikimuona mara kwa mara kwenye kipindi cha Siasa za Siasa kinachorushwa na EATV, anaonekana kuwa mtulivu na mvuto wa kipekee. Mwenye CV yake naomba...

View Article


Diamond Platinumz fans' special thread: Njooni tukutane hapa

Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanaomtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote". Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na...

View Article

Mume wa Zari na wenzake wakamatwa Afrika Kusini

Mme wa zari ambaye pia ni mganga wa kienyeji(sangoma)amekamatwa huko south africa kwa sababu ambazo hazijulikani ila najua umeshajua ni kwa nini???wazee wa mgumashi maana deal zao ni kama za ustaaazi j...

View Article

Mtifuano: Alikiba na Ruby kisa jina la mbwa mpya wa Alikiba

Ali Kiba mbwa wake mpya ameamua kumuita jina la ruby na kupelekea watu wa karibu na kiba na mashabiki zake(teamkiba) kumuita binti na chipukizi wa bongo flave mwenye sauti nzuri Ruby kushindwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Amber Rose amuanika Kanye kuhusu kumpapasa tezi dume

Mnasemaga ni uswahii....na hii je! Wenyewe wanaiita prostate massage, kwamba mtoto wa kiume unapokua kwenye game mwanamke anaingiza kidole njia ya hajakubwa...... Wanasifia mshindo wake ni mkubwa mno,...

View Article


Jinsi Zari na mumewe walivyopata utajiri

Here is how Zari and Ivan Ssemwanga became rich in one day. Big Eye / January 9, 2015 Big Eye Zari-Ivan Tycoon Ivan Ssemwanga needs no introductions. He, like his grandfather Pinto who was a prominent...

View Article

Mastaa na mahusiano yao

Hivi kwa nini mastaa hasa wa kiume wanapendwa na kina dada wengi, wazuri, wastaarabu lakini hawako tayari kuwa nao ila wako tayari kuwa na mahusiano na mastaa wenzao hata kama wanatabia mbaya, n vice...

View Article

VIDEO: Cheki hii marriage proposal watu walivyojipanga kusuprise

Hebu tuangalie hii marriage proposal tuone kama hapa kwetu inawezekana

View Article

Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika mimba...

View Article


Shilole: Nilipiga makofi na nikitoka alibeba pochi

Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV. Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba pochi....

View Article

Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

Yule mdada kiuno bila mfupa! Rehema Chalamila a.k.a Ray c Ameahidi kupambana na Global publishers mahakani kwa madai ya kuzushiwa habari katika ukurasa wake wa insta ameandi haya Seriously kwa kweli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platinumz worldtour schedule

Hii hapa ratiba ya mtoto wa Tandale

View Article

Wasanii wanaoongoza kudiss wenzao

Kwa mtazamo wangu. 1.Wanaodiss direct. 1.Ney wa mitego....kamdiss chidi,zay b,rap,east coast,madee,chidi Benz,zitto etc 2.lady Jay D,.....kadiss clouds,mwana fa,G Habash etc 3.Afande Sele,...huyu...

View Article


Mkulu alikuwa anajua kuserebuka we acha tuu

https://www.facebook.com/video.php?v=10153682553888126 Hata kama mambo mengine yalikuwa hayaendi sawa lakini katika fani hii wewe ulikuwa hakuna mfano. Ni burudani tosha.

View Article

Historia fupi na usiyoyajua kuhusu MCH. GWAJIMA

Historia yake nayoweza kukupa ni kuanzia pale aliposomea shule ya sekondari buswelu iliyopo mwanza Amemaliza form 4 mwaka 1996 alinitangulia vidato viwili Alikuwa anasoma darasa moja na Godbless lema...

View Article

Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

Mtanzania anayejuana na mabilionea wengi kuliko Mtanzania yoyote yule nchini lakini bado anakaa kwa mshua na hata hajawahi kununua luku amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukataliwa kufanya remix...

View Article
Browsing all 12682 articles
Browse latest View live