Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

$
0
0
Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika mimba Wema yameendelea kuzunguka.

According to anayesemekana ni baba kijacho, amesema wanategemea Wema ajifungue baada ya miezi sita au saba, ambapo kwa maana hiyo Muda huu ana mimba ya miezi mitatu.

Mimba ya miezi mitatu ni mimba iliyoingia mwezi wa kumi na moja (November) ama mwezi wa kumi...

Nani aliyempachika Wema Sepetu mimba?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Trending Articles