![[IMG]](http://pbs.twimg.com/media/CZyzlVrWEAAfF3x.jpg)
Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Idris Sultan kuweka wazi kumpa ujauzito bidada Wema Sepetu kupitia katika account yake ya Instagram Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa Idris amempa heshima na kumfanya ajivunie kuwa mwanamke.
Wema Sepetu leo kupitia ukurasa wake wa Instgram amefunguka mambo mengi na kuonyesha kufurahishwa na wala hajutii kuanzisha mahusiano na Idris Sultan, katika ujumbe wa Wema anasema wazi anampenda Idris si kwa...
Wema Sepetu: Idris umenifanya nijivunie kuwa mwanamke