Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

$
0
0
Yule mdada kiuno bila mfupa! Rehema Chalamila a.k.a Ray c Ameahidi kupambana na Global publishers mahakani kwa madai ya kuzushiwa habari katika ukurasa wake wa insta ameandi haya

Seriously kwa kweli huwa naumia sana sana kuona binadamu mwenzangu anadiriki kuni niharibia jina langu ili yeye apate kula! Hamjui mnaniathiri kiasi gani na hizi habari zenu? Hivi unadirikije kuandika usengwile kama huu bila hata ya aibu bila hata ya picha ya kuisapoti habari hiyo yaani ni ujinga ujinga tuu...

Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Trending Articles