Wadau,
Huyu Dada anayeitwa CarolNdosi nimekuwa nikimuona mara kwa mara kwenye kipindi cha Siasa za Siasa kinachorushwa na EATV, anaonekana kuwa mtulivu na mvuto wa kipekee.
Mwenye CV yake naomba atuwekee hapa.