Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Browsing all 12682 articles
Browse latest View live

BBC News: Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry?

Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? - Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? Habari zenu wadau, Kuna taarifa zimetolewa kwenye chombo cha habari bbc kumuhusisha mwanamuziki Bieber na...

View Article


Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ni siku nyingine tunakutana hapa kwenye kilinge chetu cha majungu, fitina, na figisu figisu sehemu ambapo UKWELI...

View Article


Ali Kiba atangaza rasmi kuanza ku-follow watu lakini kwa condition hii

Akiongea na Xxl ya Clouds fm amesema ndani ya mwezi huu atakuwa anamfollow mtu mmoja mmoja kisha ana muunfollow na ni kwa wachache watakaobahatika... "Nimeanzisha utaratibu wa kuwafollow washabiki...

View Article

Joto la asubuhi (Hando,PJ,Adela) vs Power Breakfast (Masoud, Fredwaa, Barbara)

Mimi nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha Power Breakfast cha clouds Fm....Lakini nna kama wiki sasa nimekuwa niki interchange kati ya Power Breakfast na Joto la asubuhi cha Efm...Na sasa naona navutiwa...

View Article

Video ya Aje ya Alikiba imehit 1 Million views over one week

Hongera Alikiba #kingkiba Uzuri wa kazi yako ndio uliofanikisha leo kupata views Million 1 just only over 1 week tangu iachiwe YouTube. Umesimama mwenyewe bila collabo na umetoboa mwenyewe bila kubebwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema atoa support kwa Diamond

Kwa mara nyingine tena Wema Sepetu ameonyesha kutoa support kwa W.C.B kwa kupost picha kuhusu uzinduzi wa ngoma na utambulisho wa Rich Makovo ndani ya familia ya WCB hali hii imefanya team kiba...

View Article

Young killer: Chief kiumbe akinipa ndinga Sikatai

Msanii Young Killer ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya akiwa na Mr Blue amefunguka na kusema kuwa ikitokea Chief Kiumbe amempa gari hawezi kukata sababu hakuna mtu ambaye anapenda maisha...

View Article

Diva: Sioni ajabu kudendeka na mtu

Kufuatia video aliyoipost mtangazaji Diva kwenye mtandao aliyokuwa akidendeka live na mpenzi wake GK, Diva amefunguka kuwa hayo ni maisha yake na kitu kinachompa furaha mno. Diva ameenda mbali zaidi...

View Article


TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

taarifa nilizopata muda si mrefu mwandishi wa habari aliyejipatia umarufu kwa kufichua rushwa za trafiki naye amekamatwa kwa kuomba rushwa ya milioni 10

View Article


Ligi ya Madam na Mchaga..

Maselebriti watu wazima, Madam wa Biesiesi na huyu Jacky Mchaga wanafanana sana tabia.. Hawa ni ndege? Nachozungumzia ni tabia ya kuruka na vi-underage.. Imo damuni mwao! Nisameheni mie sijui kuandika...

View Article

Whose son is this?

While browsing and surfing on the internet, I came across these fascinating photos of this kid from Dar es salaam. Fresh, cute and full of swags is what caught my attention from this little brother...

View Article

Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm, Dina Marios, leo kupitia ukurasa wake wa instagram, amefunguka kuhusu tetesi zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu bifu lake na mtangazaji mwenzie, Zamaradi...

View Article

Swali la Ufahamu kwa hawa Celebrities Wetu hasa Wasanii

Leo nina swali,Wasanii hapa Bongo ni wengi sana na hawa wasanii ni wachache sanaa ambao hawana Management! Diamond ndo nahisi anaongoza kwa kuwa na management kubwa na huwa sijui wote wanafaidika vipi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu ndio umri halali wa le baharia

Le mutuz anasatahili heshima, ni mtu mzima sana, ingekuwa amri yangu anafaa apigiwe mizinga 21. Shkamoo le mutuz Birthday loading..... 25 June View attachment 353073

View Article

Ujio wa pesa ya madafu Jay mo, kabadilika sana

Nimepata nafasi ya kuisikiliza ngoma ya Jay Mo "Super Man" inaitwa PESA YA MADAFU. Mo kaamua kubadilika na kwenda kwenye trap beat. Ni vizuri ila me naona amepoteza ile ladha ya Jay Mo halisi.. Anyway...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Did Suge really force Jay-Z to pay tribute to Tupac?

​ I heard this. Back in the day, Jay used to be very tight with Dr Dre. Jay wanted "clearance to the West" (security), specially after having been dissed by the GOATPac Shakur who rep'd the West. After...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu: Sina amani kabisa kwenye maisha yangu.

Msanii wa filamu na mjasiriamali Wema Sepetu amefunguka ya moyoni kutokana na namna mashabiki wake wa mitandaoni wanavyomchukulia na kumpa maneno ambayo muda mwingine yanamuumiza na kumkosesha amani...

View Article


2nd June Rich Mavoko Kwenda Kusign WCB unatia aibu

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!11 Mniache niko kwenye Shaaban, najiandaa na Ramadhan. Tusi lolote utalo nitukana nakujibu kabisaa BABA YAKO MZAZI. Nchi huru hii sijakutumia...

View Article

Kajala na Quick Rocker ndani ya mahaba mazito

Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani. Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare...

View Article

Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

Hatimaye lile tukio la Rich Mavoko kuingia ndani ya lebo ya WCB limetimia baada ya kitendo hicho kukamilika siku ya leo na kukaribishwa na timu nzima ya WCB. View attachment 353003 View attachment 353004

View Article
Browsing all 12682 articles
Browse latest View live


Latest Images