![[IMG]](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/02/wema-seoetu24-1.jpg)
Msanii wa filamu na mjasiriamali Wema Sepetu amefunguka ya moyoni kutokana na namna mashabiki wake wa mitandaoni wanavyomchukulia na kumpa maneno ambayo muda mwingine yanamuumiza na kumkosesha amani na kumfanya ajione ni kama mkosaji mkubwa.
“Kitu ambacho nakiona kutoka mitandaoni, Watu wanapenda sana fujo fujo, Purukushani, mara huyu na huyu hawaongei, flani kamchukulia flani bwana, yule kafumaniwa....
Wema Sepetu: Sina amani kabisa kwenye maisha yangu.