Aunt Ezekiel: Sitaki marafiki tena
BAADA ya urafiki wa waigizaji mashuhuri na wanaozungumzwa sana nchini, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ‘Mama Cookie’ kuvunjika, waigizaji hao wameibuka na kudai kwamba hawahitaji marafiki. Ilishangaza...
View ArticleKwa wale wa Dodomaaaaaaa inawahusu hii!!!
Pande za chamwino,kongwa,mpwapwa,Bahi,kindoa,area c,kuhungu,area d kuna booonge moja LA shooooooow ya MWENDO KASI kutoka Kwa mwanadada lady Jay deeeeee & the band ze NDI NDI NDI usikubari kupitwa...
View ArticleAmber Rose adondokea kwa mcheza kikapu
View attachment 353011 MWANAMITINDO Amber Rose ameendelea kuzungumziwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Marekani, baada ya kuonekana na nyota wa kikapu wa timu ya Toronto, Terrence Ross...
View ArticleWasanii mnakera sana na majibu yenu
Kwema wanajamvi.!? -Wasanii wa muziki wa dansi, rhumba, bongo flava ,baadhi yenu kitendo cha kila mkifanya mahojiano na vyombo vya habari kuhusu labda kuimba mlianzia wapi.? Majibu yanakuwa eti madrasa...
View Article