Mimi nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha Power Breakfast cha clouds Fm....Lakini nna kama wiki sasa nimekuwa niki interchange kati ya Power Breakfast na Joto la asubuhi cha Efm...Na sasa naona navutiwa zaidi na Joto la asubuhi kuliko PB...Kiasi naona kama hawa jamaa wa Efm wakimchukua Barbara tu wameimaliza Power Breakfast......But huu ni mtazamo wangu tu...Hebu tujifurahishe kwa kupiga kura hapo kati ya vipindi hivi viwili...Mimi kuraa yangu naitupia kwa Joto la Asubuhi...Karibuni....
NB:...
Joto la asubuhi (Hando,PJ,Adela) vs Power Breakfast (Masoud, Fredwaa, Barbara)
NB:...
Joto la asubuhi (Hando,PJ,Adela) vs Power Breakfast (Masoud, Fredwaa, Barbara)