Kwanini nyimbo za Alikiba huvuja kabla ya muda?
Imekuwa kawaida sana Ali kiba Kabla ya kutoa nyimbo zake huvuja mapema,Amepanga kuitoa Nyimbo yake mpya ya Aje kesho pamoja na video yake ikiianzia Mtv lakini bahati mbaya nyimbo tayari watu tunayo mda...
View ArticleGodzilla vs Gnako
Ni wasanii wanaoweza kurap na kuimba...wameshaimba nyimbo zao,wamefnya chorus kwny nyimbo zikang'aa pia.baadhi ya hit single zao ni; GNAKO 1.Sichezi mbali 2.Headache 3.Juma ikangaa 4.original 5.Arosto...
View ArticleJina la Diamond linadhihirisha tabia zake
Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ni msanii wa aina yake kwa namna ameanza muziki mpka alipofika hapa leo,pia amekua inspiration kwa vijana wengi katika sanaa anayofanya na ata nje ya sanaa....
View ArticleMtangazaji Masoud Masoud wa TBC
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC. Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji...
View ArticleKumbe Fid Q ana watoto watatu wa mama tofauti??
Leo na ni muda huu yupo Clouds Fm kwenye XXL anafanya mahojiano,nimeshangaa kumsikia jamaa anasema "Ujue mimi nina watoto watatu wa mama tofauti". Kumbe wenye watoto wengi na kila mtoto na mama yake...
View ArticleTiwa savage vs Nhlanhla nciza(Mafikizolo wa kike)
ni wasanii wa kike africa wenye sauti nzuri na uimbaji mzuri..nani mkali zaidi??
View ArticleNgoma ya Shetta **Namjua**
Hii ngoma kiukwel ni hatar mno na kideo chake ni balaaa tupu.....Big Up Baba Qaillah!....Naona Jamaa katumia mkwanja mrefu sana kuandaa video ya wimbo huu ila ninachojiuliza hii kaz itamlipa vip hizo...
View ArticleDiamond Platnumz katisha
kiukweli kijana wetu katsha sn n baada ya kutua bungen na kushangiliwa na wabunge wa pande zote mbili bila kujali itikadi ya vyama vyao... nafkir ndio msanii wa kwnz nchin kupata mapokez ya nguvu...
View ArticleBinti wa miaka 19 anayedai kuwa na ujauzito wa Papa Wemba ajitokeza hadharani
View attachment 346624 Binti wa miaka 19 anadaiwa kuspend one night on the same bed na Hayati Papa Wemba amekua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ndani na nje ya Congo(D.R.C) akidai kuwa na ujauzito wa...
View ArticleJ Cole is the illest New Skul Cat
Ilinichukua muda kiasi kumuelewa huyu chalii, si uongo. Kwa upande wangu Mshkaji hana mpinzani kwa hawa kizazi kipya. He got the contents, techniques to deliver, determination, genuine intent, and he's...
View ArticleGigy Money asema yupo tayari kucheza filamu za ngono kwa sharti hili
Video Queen na msanii wa filamu Tanzania, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameweka wazi kuwa yupo tayari kucheza picha za ngono endapo atapata mshiko wa maana. Gigy amesema kwa kuwa anatafuta fedha ya...
View ArticleWema Sepetu na Ommy Dimpoz katika mahaba, kimya kimya
View attachment 347464 LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa Wema amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa wa Bongo Fleva,...
View ArticleMadee: Sijawahi kufumaniwa nikiwa na Shilole.
Msanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpenzi wake huyo wa zamani katika sehemu ambayo si ya wazi yaani...
View ArticleWastara: Sipo kwa ajili ya kujiuza
Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma ambaye siku za karibuni aliomba talaka kutoka kwa mume wake amefunguka na kusema yeye sio mtu wa kujiuza, bali ni mtu ambaye anajijali na kujitunza. Wastara alisema...
View ArticleTigo yakata rufaa kuwalipa AY, Mwana FA TSh 2.18 Bilioni, majibu ya rufaa yao...
Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) imekata rufaa kupinga hukumu iliyoamuru iwalipe Sh2 bilioni wanamuziki wawili, Ambwene Yesaya na Hamisi Mwinjuma kutokana na kutumia bila ya ridhaa yao, nyimbo za...
View ArticleMrembo Irene anayedaiwa kuchepuka na Diamond kumbe ni mwanafunzi
BINTI anayedaiwa kubanjuka kimalovee na staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ anayejulikana kwa jina la Irene Hilaly ‘Lynn’ kumbe ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbazi Centre...
View ArticleGardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour...
View ArticleOmmy Dimpozi: Mabinti wananisumbua sana
Ommy Dimpoz ametaja sababu kubwa ya kumuweka mpenzi wake wazi ni kupunguza kasi ya wasichana wanaomwinda. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Ommy Dimpoz alisema...
View ArticleGigy Money: Niko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Gardner kwa miezi 6 sasa
MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa mapenzi...
View ArticleJeuri ya pesa ya kijana mussa Goodfellow
Awanyamazisha midomo watoto wa vigogo na kuwaambia waache kutegemea pesa za wazazi wao. Ni baada ya kununua gari mpya aina ya marcedes yenye thamani ya shilingi milioni miatatu huku akiongeza idadi ya...
View Article