Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Wema Sepetu na Ommy Dimpoz katika mahaba, kimya kimya

$
0
0
View attachment 347464

LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa Wema amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.

Hiyo imedhihirika hivi karibuni baada ya kuvuja kwa picha mpya za wawili hao wakiwa chumbani katika mapozi ya kimahaba huku wamevaa mavazi ya kulalia.

Picha moja wapo ilimuonesha Dimpoz akiwa amemwekea miguu Wema mgongoni huku nyingine akiwa ameegesha mkono...

Wema Sepetu na Ommy Dimpoz katika mahaba, kimya kimya

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Latest Images

Trending Articles



Latest Images