![[IMG]](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/05/madee-NA-SHILOLE33.jpg)
Msanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpenzi wake huyo wa zamani katika sehemu ambayo si ya wazi yaani chumbani.
Lakini Madee kupitia kipindi cha Planet bongo amekana tuhuma hizo na kusema kuwa suala hilo halina ukweli wowote ule na kudai kuwa Shilole ni rafiki yake ambaye mara kadhaa walikuwa wakitembeleana...
Madee: Sijawahi kufumaniwa nikiwa na Shilole.