Awanyamazisha midomo watoto wa vigogo na kuwaambia waache kutegemea pesa za wazazi wao. Ni baada ya kununua gari mpya aina ya marcedes yenye thamani ya shilingi milioni miatatu huku akiongeza idadi ya magari yake ya kifahari kufikia tisa ikiwemo range rover envoque new model aliyinunua mwaka jana. Watu wengi wamekuwa wakitilia shaka utajiri wa kijana huyu mwenye umri wa miaka 21 tu na anamiliki mali ambazo anadai si za kurithi kama za vigogo wengine. Baba yake ambaye ndiye mmiliki wa...
Jeuri ya pesa ya kijana mussa Goodfellow
Jeuri ya pesa ya kijana mussa Goodfellow