Davis Mosha afungua studio yake!
Davis Mosha ambaye aliyekuwa mgombea Ubunge Moshi mjini kupitia CCM 2015, afungua studio yake. Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wake wa Facebook. Tunaomba wenye taarifa zaidi watujuze masafa ya vipindi vya...
View ArticleCV ya Masoud Kipanya
Huyu jamaa nimekuwa nikimfuatilia muda mrefu ...........Aisee huyu jamaa ni kichwa sana......Yani unaweza ukachukua threads kibao za JF na comments za watu, lakini yeye akaweza kuyapresent kwa mchoro...
View ArticleGadna : Sina ugomvi na Jide, nimemkojoza miaka 15
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee. "Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "...
View ArticleNimewakumbuka wapiga gitaa hawa wa enzi hizo
Kuna Watu walikuwa na vipaji kwenye ulimwengu wa muziki hasa WA kikongo. Kuna jamaa alikuwa anaitwa diblo dibala alkuwa mpiga solo getter maarufu Sana. Hata hvyo baadaye akatokea kijana mwingine daliki...
View ArticleRemix ya Ndindindi iwe Jide feat Nay
Kwa jinsi movi inavyoendelea kati ya Ndindindi na Jide.. Inabidi komando atoe remix ya wimbo huo Ndindindi ameshirikishe True boy ili aweze kumchana vizuri Ndindindi mana komando hampi makavu live...
View ArticleWCB punguzeni kukopi na kupesti
Utasikia Jason Deluro ndio kaiga [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 344836
View ArticleWizkid, Diamond na Mr. Flavour waula, kuandika historia Africa
Star wa Tanzania Diamond platnumz ni miongoni wa mastaa 3 wa africa waliopata shavu la kufanya show kubwa zaidi nchini marekani kwa wasanii wataotoka africa kwa mara ya kwanza. Wizkid, mr flavour na...
View ArticleNE-YO kutua nchini Tanzania; Kufanya Tamasha Mwanza, Mei 21
Mwanamuziki nguli kutoka nchini Marekani NE-YO ambaye amekuwa akitamba kwa muziki ya mahadhi laini, anatarajiwa kuwasili nchini Mei 19 kwa mwaliko wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa...
View ArticleWema Sepetu Tena katika mahaba mazito na Ki-boy
Kuna Clip inasambaa sana Instagram Wema sepetu akiwa Na Ki Boy ... Bila haya Wala Aibu mwanamke Huyu Na kiss Za midomo juu wakadendeka Picha hizi hapa
View ArticleWema sepetu aja na mradi mpya "Wema na jamii"
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu...
View ArticleMaisha yaanza kumnyokea Idris sultan
Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan amesema ameanza kuingiza faida kutokana na uwekezaji aliyoufanya baada ya kutoka kwenye shindano la hilo ambalo lilimpatia zaidi ya Sh500 milioni....
View ArticleMtanzania anayefanya muziki UK, Tiggs da Author
Huyu ni mtanzania ila bahati mbaya hapa home(Tanzania) hajulikani ila kwa UK naona yuko moto siku si nyingi atakuwa mbali sana. After spending his early childhood in Tanzania, Tiggs moved to London at...
View ArticleGadna: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee. "Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "...
View ArticleNataman nimuone YASMIN...
Habar za sikukuu?? Natumain mmesherekea vema ...Mimi nmekua mpenz wa kusikiliza nyimbo za FALLY IPUPA na zaid namkubali jamaa sana. ...sasa mda mwingi nyimbo zake anantaja YASMIN NA KATI YA TANZANIA...
View ArticleManeno ya Gardner dhidi ya Jaydee ni udhalilishaji mkubwa; nashauri akamatwe
Habari wanandugu! Kutokana maneno aliyo tamka aliyekuwa mme wa mwanamziki Jay dee! ni maneno ya aibu kutamkwa hadharani na mtu mtangazaji ambae anapaswa kuwa kioo kwa jamii! kutokana na udhalishaji huu...
View ArticleDiva amjia juu Naibu Waziri Kigwangalla, adai yeye alitukanwa live na Diamond
Mtangazaji wa diva kupitia twitter View attachment 345989 View attachment 345990 Amembana mbavu Naibu Waziri Dr. Kigwangalla baada ya kulitolea tamko suala la Lady Jaydee na Gadner. Ikumbukwe kwenye...
View ArticleKutana na Karen, binti wa Gardner G. Habash
Hivi yule binti Gardner anayezunguka naye viwanja usiku ana tofauti na huyu binti yake? Au watu wakimfanyia hivyo binti yake atajisikiaje? View attachment 213338
View ArticleTundaman, Chegge na Ferouz sio wasanii kabisa
Kama unajua muziki utaelewa ninachomaanisha, ila kama hujui basi hutaelewa kamwe, hao wasanii watatu nadhani ndio wasanii wabovu kabisa hapa Tz, hawajui kuimba kabisa. Hao ni wasanii wa kuomboleza tu,...
View Article