Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Tundaman, Chegge na Ferouz sio wasanii kabisa

$
0
0
Kama unajua muziki utaelewa ninachomaanisha, ila kama hujui basi hutaelewa kamwe, hao wasanii watatu nadhani ndio wasanii wabovu kabisa hapa Tz, hawajui kuimba kabisa.

Hao ni wasanii wa kuomboleza tu, maana wao kila nyimbo wanalilia tu hata kama ni nyimbo ya kuparty,
  • CHEGE sikiliza Dar mpaka Moro alivyolialia wakati ni nyimbo ya furaha
  • FEROUZ sikiliza Jirushe alivyolialia wakati ni nyimbo ya kuparty
  • TUNDAMAN sikiliza Starehe gharama alivyolialia wakati ni nyimbo ya kuparty,...

Tundaman, Chegge na Ferouz sio wasanii kabisa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Latest Images

Trending Articles



Latest Images