Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Maisha yaanza kumnyokea Idris sultan

$
0
0
Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan amesema ameanza kuingiza faida kutokana na uwekezaji aliyoufanya baada ya kutoka kwenye shindano la hilo ambalo lilimpatia zaidi ya Sh500 milioni.
Akizungumza na Bongo5, Idris alisema tayari ameanza kuona faida ya pesa ambazo aliwekeza kwenye biashara zake.
“Kwa sasa hivi matunda nimeanza yaona, kuna kipindi fulani nilikuwa sitoki sana, watu wakasema Idris amepotea kwa muda mrefu, hicho ndo kipindi ambacho nilikuwa busy kuweka mambo sawa,...

Maisha yaanza kumnyokea Idris sultan

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Latest Images

Trending Articles



Latest Images