Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Diva amjia juu Naibu Waziri Kigwangalla, adai yeye alitukanwa live na Diamond

$
0
0
Mtangazaji wa diva kupitia twitter View attachment 345989 View attachment 345990

Amembana mbavu Naibu Waziri Dr. Kigwangalla baada ya kulitolea tamko suala la Lady Jaydee na Gadner.

Ikumbukwe kwenye kipindi cha XXL, Diamond Platnumz alimwambia Diva live akiwa hewani kuwa dawa yake ni kumkaza.

Waziri pia alijitetea suala la wabunge wa UKAWA kuitwa baby hakuzungumza kwasababu suala mambo ya bunge yanaishia bungeni.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Latest Images

Trending Articles



Latest Images