Madam Rita, ziko wapi nyimbo za wasanii wa Top 5 ya BSS?
Bongo Star Search ni shindano pekee kwa Tanzania la kusaka vipaji kwa vijana wenye uwezo wa kuimba. Madam Rita kupitia kampuni yake ya Benchmark Production alikuwa na malengo mazuri ya kuanzisha...
View ArticleMjengo wa Dida Shaibu
Huu ndo mjengo na baadhi ya magari anayomiliki mtangazaji wa times FM , dida shaibu..
View ArticleLeyla rashidi vs jokha kassim yupi unamkubali?
Leo tunaye malkia wa jahazi leyla rashidi aka mamake na lujayina. Ni mwimbaji wa jahazi modern taarab na pia ni mke halali wa mfalme mzee yusuff ambaye ni mkurugenzi na mmiliki wa bendi ya jahazi...
View ArticleSupastaa Hasheem Thabeet yu wapi!?
Kama watanzania wazalendo tulifurahia sana ufiko wa kilele cha mchezo wa kikapu wa mbongo mwenzetu huyu. Ni mafanikio makubwa naweza kuyaita kwa upande wa burudani na michezo kwa hatua aliyofikia...
View ArticleLady Jaydee na EFM wameingia kwenye ubia gani?
Lady Jaydee rasmi E. fm atakuwa mtangazaji mahiri anarudi kwa kasi hawa E. fm wamedhamiria kuleta mapinduz halisi
View ArticleMtoto wa Dida
Habari za jioni wana JF? Kuna mtangazaji wa 100.5 Times Fm anaitwa Dida. Huyu dada ana mtoto anaitwa Samira, mtoto huyu Samira kazaa na nani?
View ArticleKi-Bob Marley
Hivi niko kwenye njozi au ninachokiona ndicho kweli kinachotokea? Gotdamnit! Ntampata wapi huyu?
View ArticleHivi Mr. Nice uchawi wake alichukua wapi?
Sitashau usiku mmoja nikiwa Stockholm, Sweden, Mr Nice alikuwa anashow moja hivi. Kwa kukumbuka sana nyumbani na enzi hizo napenda sana mziki wa Bongo, ukijumlisha na umaarufu wa Mr. Nice wakati huo,...
View ArticleSoudy Brown anatudhalilisha Wanaume Dar
Japo naishi Mwanza lakini na - declare interest kwamba mimi ni mwanaume wa Dar kwa sababu ndo wazazi wangu wanapoishi na ndiyo nilipokulia. Huyu mtangazaji wa Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL segment...
View ArticleFuvu la binadamu ndani ya Ofisi ya Diamond
Fuvu la binadamu lakutwa limewekwa kwenye meza ya Diamond pembeni ya picha ya mwanawe Tifah. Diamond asema ni kweli ni fuvu la binadamu, ila ni pambo tu kama mapambo mengine, yeye anamtegemea Mungu....
View ArticleDida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui
Da Dida hujambo bibie? Za masiku mingi, naona siku hizi mashallah wazidi kuwa 'mzungu-pori'....nisalimie mwanao Samira. Dada Dida, najua unanikumbuka, unamjua dada mmoja anaitwa Zanelle Ladies wear ana...
View ArticleLe Baharia amuonya Diva Loveness
Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati...
View ArticleLady jaydee kurudi kwenye utangazaji Efm??
Ni mchezo upi huo? Usemi huu ulianza baada ya EFM kuwapora watangazaji wawili wa Clouds FM, Gerald Hando na Paul James kabla ya wao nao kuporwa mtangazaji wao, Gardiner G Habash. Na sasa movie...
View ArticleKUNA UKWELI KWAMBA TUNDAMAN KAPATA AJALI YA GARI?
HII HABARI NIMEITOA HUKO WHATSAPP, MWENYE UHAKIKA WA JAMBO HILI AWEKE DETAILS HAPA. Breaking News Mwanamziki Tundaman apata ajali mbaya Eneo la Idetelo, katikati ya Nyololo la Makambako, aliyekuwa naye...
View ArticleAliyekuwa nyota wa filamu za ngono afariki usingizini
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa wamethibitisha. Marafiki na waliokuwa wafanyikazi wenzake...
View ArticleSwabrina Ghalibu Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary
Anaitwa Swabrina Ghalibu huyu atakuwa ni msichana wa kwanza kabisa kufanya kazi Mortuary akiwa na Umri mdogo ana Miaka 19 Atakuwa anatunza miili ya binadamu Mortuary na kuifanyia kila Taratibu...
View ArticleKENYA YASHINDA RUGBY
Kenya kwa mara nyingine imedhibitisha kwamba wana vipaji baada ya kunyakua kombe kuu kwenye series za rugby (saba upande)huko Singapore dhidi ya Fiji kwa try 30 kwa 7. Kenya ndio timu ya pili kutoka...
View ArticleJerry Muro,Haji Manara wamewahi kushtakiwa kwa utapeli
Hawa wasemaji wawili wa Simba na Yanga wana sifa inayofanana,hakuna asiyejua sakata la Jerry Muro aliwai kushitakiwa kwa makosa ya kuombaa rushwa mwaka 2010,na mwaka huohuo 2010 Haji Manara akashtakiwa...
View ArticleHawa ndio mastar wa 5 wa bongo ambao wametoka familia za kishua
Hakuna mtu asiyejua maana ya watoto wa kishua basi kama yupo basi maana halisi ya neno hili ni wale watoto waliozaliwa kwenye familia zinazojiweza au unaweza kuita familia Bora. Mara nyingi wasanii...
View ArticleHama hama ya watangazaji wa radio za bongo.. maana yake ni nini!?
Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer. Gadner katoka Efm kaenda Clouds. PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm. Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm. Dj Senyorita...
View Article