Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Swabrina Ghalibu Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary

$
0
0
Anaitwa Swabrina Ghalibu huyu atakuwa ni msichana wa kwanza kabisa kufanya kazi Mortuary akiwa na Umri mdogo ana Miaka 19

Atakuwa anatunza miili ya binadamu Mortuary na kuifanyia kila Taratibu zote.....Wakati akina dada wengine waki jimwaya mwaya Instagram na Facebook huku hawana Kazi yeye atakuwa anafanya kazi hiyo ambayo itakuwa inamuingizia pesa Nzuri tuu

Ni kazi ambayo haina ushindani hivyo ukiomba ni rahisi kupata

Kwa nijuavyo mimi kazi ya huyo dogo itakuwa kukusanya miili hiyo toka...

Swabrina Ghalibu Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Latest Images

Trending Articles



Latest Images