Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati kilikuwa na mpango wa kusikika Morogoro pekee, atakayekuwa mtangazaji mpya wa kipindi cha mapenzi kutoka swahili fm ndg Lemutuz ametoa onyo kali kwa mtangazaji mwenzie wa show za usiku kutoka upande wa pili kuwa ajiandae kwa upinzani wa kiwango cha lami toka kwa gwiji ilo la mitandao....
Le Baharia amuonya Diva Loveness
Le Baharia amuonya Diva Loveness