Mwisho Mwampamba, nini kimemsibu?
View attachment 335191 Mwisho Mwampamba kulia akiwa na mdogo wake walieshare baba, Robert Mwampamba (kushoto). Hapo walikuwa mahakamani juzi mjini Morogoro ambapo Mwisho kashitakiwa na mdogo wake kwa...
View ArticleMrejesho; Belle 9 Hii Ni Aibu
Jaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua Kuwa...
View ArticleGardner G Habash: Najuta kuachana na mke wangu wa kwanza
Mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G Habash amesema miongoni mwa vitu anavyojutia katika maisha yake ni kuachana na mke wa kwanza aliyezaa naye mtoto wa kike, Karen, ambaye kwa sasa yupo mwaka wa pili...
View ArticleMwenye CV ya Charles Kitwanga (Kipengele cha Education) anipe
Huyu jamaa ni full majungu na ni fisadi kiaina. Kada wa CCM. Mtumishi wa Benki Kuu. Amevuruga kampuni waliyoanzisha watu wanne kiasi kwamba sasa ina hali mbaya. Wahindi wameipiga bao. Kupewa Wizara ni...
View ArticleWasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?
Kati ya wasanii (wanaodaiwa 'kula unga') ambao huwa nikiwaona walivyopungua na kupoteza mwili mzuri waliokuwa nao hapo awali ni Chid Benz. Je, kuna ambae kwa upande wako anakusikitisha?
View ArticleHatimaye Roma Mkatoliki afunga ndoa
Roma Mkatoliki,msanii maarufu wa hiphop Tanzania hatimaye ameamua kufunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) April 9 2016. Ndoa hio imefungwa nyumbani Tanga na ni...
View ArticleWarembo kumi wanaofatiliwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari Afrika...
Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite person”,ila kwa kifupi “Socialite” ni neno la kingereza...
View ArticleMuda si mrefu kipindi cha maisha ya Diamond Platnumz ya kila siku kitakuwa...
(Can you try to guess the name of our Reality Show?) (Muda si mwingi kipindi cha Maisha yangu ya kila siku,Familia na Team yangu nzima itaanza kuwa kwa TV yako pendwa...nakuahidi sio tu eti kireality...
View ArticleMunalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea
Asante Mod's kwa kuniachia huru... Ban inauma. Dada Munalove, kwanza shikamoo, japo najua utaikataa shikamoo yangu, maana mpaka leo bado unaji-bebisha wakati kidali poo ulicheza na shangazi yangu wa...
View ArticleRay C wa sasa hadi huruma
Habari wakuu. Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C[emoji26] [emoji26]
View ArticleWema adai makalio yake yameongezeka sababu ya kuendesha range
Waswahili wanasema ukimuona kuku kwa mganga jua ameponzwa na rangi yake hali hii imemtokea Wema the big booty. Mnyange huyo akifanya mahojiano na channel moja maarufu huko youtube alidai sababu ya yeye...
View ArticleDida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui.
Da Dida hujambo bibie? Za masiku mingi, naona siku hizi mashallah wazidi kuwa 'mzungu-pori'....nisalimie mwanao Samira. Dada Dida, najua unanikumbuka, unamjua dada mmoja anaitwa Zanelle Ladies wear ana...
View ArticleWasanii Wa Morogoro Na Mkosi Wa Tuzo Za Kili!! Tumechoka!!
Sabakher Wadau; Naona Tangu Tuzo Zianze Hakuna Msanii Hata Mmoja Kutoka Morogoro Zaid Ya Pro J Aliyewah Kuchukua Tuzo Za Kili!! Kiukwel Nawaomba Sana Mwaka Huu Mjitahid Mumpe Hata Jiran Aliyeshusha...
View ArticleMovie: The rise of Diamond Platnumz.....Ushauri wangu
Ni ukweli usiopingika kuwa kijana Naseeb Abdul ana historia ambayo vijana wengi wanaichukulia kama motivation katika juhudi zao wanazofanya kila siku....Kutoka kuwa muuza mitumba ambaye baadhi ya...
View ArticleHuyu chura huyu, hatari
Kwa kifupi ile video ya chura iliyofanywa na Snura ni hatari ya danger,duuuh...Snura wewe,unaweza ukavunja ndoa zetu mijini. Aluuuuuh!
View ArticleHizi ni propaganda lyrics....(fid q)
Machungu unapozimwa,ili ufunikwe na asiyeweza/ Mbaya zaidi wanampa Promo halafu kwenye Show unammeza/ hautaki kuwa tatizo sababu unaweza tatuka/hauwezi jua wapi nitatua ka Jiwe gizani likitupwa/...
View ArticlePicha: Ray C amtembelea Lady jaydee
Mwanamuziki mkongwe nchini, rehema chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini lady jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo kupitia...
View ArticleMbunge Joseph Mbilinyi atii kiu ya Mashabiki wake
View attachment 336578 View attachment 336579 View attachment 336580 View attachment 336581 View attachment 336583 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" ameamua kutii kiu ya mashabiki wake wa...
View ArticleLe mutuz kupata shavu kubwa mno mwaka huu
Bila shaka hii habari itakuwa ya faraja kwake baada ya leo mamaye wa kambo kupigwa chini ukuu wa mkoa na mr ma padlock Kampuni ya le mutuz itaingia katika TOP 100 MIDSIZE FIRMS za Tanzania this year(...
View ArticleKuhusu Saida Karoli mama wa Chambua kama karanga
Wapendwa naomba kujua habari za Saida Karoli. Kwa sasa yuko wapi na kama bado anajihusisa na muziki? Naombeni pia mwenye namba yake anipm kwa maana mbali na kujua hayo nayouliza hapo juu nilipenda...
View Article