Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Hatimaye Roma Mkatoliki afunga ndoa

$
0
0
Roma Mkatoliki,msanii maarufu wa hiphop Tanzania hatimaye ameamua kufunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) April 9 2016. Ndoa hio imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.

Ndoa yao imefungwa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah aliyekuwa best man. Wawili hao wana mtoto wa kiume, Ivan....

Hatimaye Roma Mkatoliki afunga ndoa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Latest Images

Trending Articles



Latest Images