Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Aunt Ezekiel: Sitaki marafiki tena

$
0
0
BAADA ya urafiki wa waigizaji mashuhuri na wanaozungumzwa sana nchini, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ‘Mama Cookie’ kuvunjika, waigizaji hao wameibuka na kudai kwamba hawahitaji marafiki.

Ilishangaza Aunty Ezekiel kutomualika Wema Sepetu katika sherehe ya mtoto wake na mnenguaji wa Diamond Platinum, Moses Iyobo iliyofanyika mwishoni mwa wiki ukumbi wa Serena Hotel.

Aunty Ezekiel alipoulizwa kuhusu urafiki wake na Wema, alisema hataki marafiki kwa kuwa hawamsaidii...


Aunt Ezekiel: Sitaki marafiki tena

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682