Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Browsing all 12682 articles
Browse latest View live

Number ya artist wa tht

Habari wana jamvi... Jamani kwa yule ambaye ana number direct ya Linah wa Tht basi naomba anipe...sio dili nina issue nae binafsi...Asanteni

View Article


Marapa 5 wanaodaiwa kuwa ni mashoga

Ni nadra sana kusikia wasanii wanaofanya rap kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hasa kutokana na nature ya muziki wenyewe unaoaminika kuwa ni muziki wa wagumu na watu wanao-stay real. Hata...

View Article


Ni kweli Diamond na Zari Wanataka Kuachana? Ni kweli Diamond kahamishia...

Kinachoendelea sahizi instagram ni Mtifuano na ukorochoaji wa Maisha ya watu! Watu wapo busy,watu wapo katika pirika pirika za kutafuta ukweli kujua nini kinacho endelea kati ya Zari na Diamond na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wako wapi watu hawa? Jamii inawamiss sana

Habari za jpil wapendwa?? Kuna watu ambao walikuwa ni wabunifu na wapo safi sana katika shughuri zao.nazungumzia watangazaji na madj ambao walijizolea umaarufu sana ila kwa sasa hawajulikani...

View Article

Wasabato Masalia watimuliwa tena uwanja wa ndege, polisi watoa onyo la mwisho

Wasabato Masalia watimuliwa tena uwanja wa ndege, polisi watoa onyo la mwisho Baadhi ya waumini Wasabato, wanaojitambulisha kama 'Masalia' baada ya kutimuliwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini...

View Article


Ifahamu Hamasa TalkShow ni TalkShow mpya kwa wakazi wa Kagera na watanzania...

Hamasa talk show ni show mpya kwa wakazi wa Kagera,na watanzania wote kwa ujumla.Lengo ni kujadili changamoto mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi,lengo likiwa kusukuma maendeleo. Show inakutanisha watu...

View Article

Kwa hili, Clouds Fm wamechemka sana

Kwanza niseme tu ukweli, Mimi kipindi ninachosikiliza Clouds Fm ni XXL tu na terminal cha Abela na Harisi. Vingine vyote naona havinivutii kabisa. Sasa ni hivi. Hiki kipindi cha XXL kwa wale ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

When Birdman walked outta The breakfast club interview. Will the internet...

Recently, Cash Money boss, Mr Birdman had his shortest interview ever, in the breakfast club. Apparently, Birdman had some problems with the 3 hosts, and he let it known as soon as he got in the...

View Article


Picha ya Lemutuz yauzwa kwa mnada wa sh mil 7

Chama cha Lembebezz Akili kubwa Instagram (LAKI) leo kimejikuta katika vita kubwa ya hela baada ya kugombania kununua picha ya King of all social media bongo,vita hiyo ilianza baada ya king huyo kupost...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza

Beyonce ka release album mpya, katika nyimbo zake kaongelea kuhusu cheating partner, kuna mstari kasema eti kisingizio dada ana "good hair", Anaehusika kajistukia kaanza ku tweet na sasa anakiona cha...

View Article

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha

Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi. Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange kaachwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Beyonce na Jay Z watengeneza kiasi cha Bilioni 375 kwa kuwadanganya Mashabiki...

Beyonce na Jay Z waliamua kufanya uamuzi wa pamoja wa kuzusha tetesi za kuachana kwa lengo la kutengeneza pesa. Uamuzi huo ulihusisha kuuza kopi nyingi za Album mpya ya Beyonce #Lemonide yenye nyimbo...

View Article

Giggs' £20m divorce: Footballer faces record payout as wife snaps over him...

Giggs' £20m divorce: Footballer faces record payout as wife snaps over him 'chatting up waitresses' The former Manchester United winger split from his wife three months ago Giggs, 42, is reported to...

View Article


Natamani kumjua Kibwana Dachi wa Magic Fm

Huyu mzee hapatikani kwenye mtandao wa kijamii wowote,hapatikani Facebook,Twitter,instagram,jf,Google,YouTube,snapchat na ukute hata whatsapp hayupo huyu mzee.natamani sana kumjua sura yake,naomba...

View Article

Princess Tiffah Dangote, followers kibao Instagram

Nilikuwa napitia pitia instagram nikashangaa kuona katoto ka Diamond kana followers 527k. Nikajiuliza ni kitu gani wanachokifuatilia? Nilipoingia sikuona la maana zaidi ya picha zake akiwa kalala,...

View Article


Kwa mwendo huu, nahisi Idris Sultani atafulia mapema

Hellow Kuna fununu kuwa Idris Sultan anatoka kimapenzi na Wema Sepetu, na kama tunavojua wadau Wema Sepetu anachotaka huwa ni pesa tu (ukiangalia dating history yake) Pia inasemekana sahiv dogo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

New Audio: Harmonize Ft. Raymond - Penzi

Download Full Music​

View Article


Wema Sepetu anakoelekea siko

Ujumbe huu ni wa kwako Wema Abrahamu Sepetu. nosly said: ↑ Hii si hali ya kawaida. Kama ni kweli anatumia madawa ya kuongeza makalio kama tetesi zilivyo, basi hali imefikia pabaya. Video hii...

View Article

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser. Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond: Mnajaribu kuniachanisha na Zari lakini hamtoweza

Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha. Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza tangu...

View Article
Browsing all 12682 articles
Browse latest View live