Kwanza niseme tu ukweli, Mimi kipindi ninachosikiliza Clouds Fm ni XXL tu na terminal cha Abela na Harisi. Vingine vyote naona havinivutii kabisa. Sasa ni hivi.
Hiki kipindi cha XXL kwa wale ambao wanasikiliza watakuwa wamegundua kitu ya kwamba kuna jamaajina limenitoka ila ni mpya kwenye XXL, yule jamaa wanampush ili awe sawa na akina Dozen na Mchomvu na hivo kila siku yeye ndie anayefungua kipindi na kufunga. Lakini pamoja na kumpush huko ila jamaa bado sana hajajua namna ya kutangaza...
Kwa hili, Clouds Fm wamechemka sana