Ni kweli Diamond na Zari Wanataka Kuachana? Ni kweli Diamond kahamishia...
Kinachoendelea sahizi instagram ni Mtifuano na ukorochoaji wa Maisha ya watu! Watu wapo busy,watu wapo katika pirika pirika za kutafuta ukweli kujua nini kinacho endelea kati ya Zari na Diamond na...
View ArticleKifo cha Papa wemba Sumu iliyowekwa kwenye MIC ilivyokatiza uhai wake
Habari wanaJf Mimi ni mmoja wa watu walioguswa sana na kifo cha nguli wa muziki wa lumba barani Afrika papa wemba, hivyo nimekua nikiangalia mara kwa mara sana clip zinazoonesha tukio la kudondoka...
View ArticleIs Drake taking aim at J Cole?
Finally the VIEWS is out. What caught my eye the most, is the album cover. Seems like Drake took J Cole's Forest hills drive concept. Drake and Cole are known not to be friends, and they've been taking...
View ArticleYuko wapi Dj Mafuvu wa EATV na EA Redio??
Sabakher wadau; Wale wapenz wa bongoflava, FNL na watazamaji EATV na wasikilizaji wa EA radio! Nadhan mnakifahamu hiki kichwa kilivyokuwa kinapiga ngoma kali pale ndani! Dah kiukweli ndo alikuwa best...
View ArticleDada aliyesababisha Jay Z kupewa kichapo na Solange ajitokeza
Beyonce ka release album mpya, katika nyimbo zake kaongelea kuhusu cheating partner, kuna mstari kasema eti kisingizio dada ana "good hair", Anaehusika kajistukia kaanza ku tweet na sasa anakiona cha...
View ArticleSugu: Wimbo utakaouzidi ‘Freedom’ utapata zawadi ya shilingi milioni 5
Baada ya wimbo wa ‘Freedom’ kufanya vizuri kwenye media mbalimbali, Sugu anajipanga kuandaa shindano litakaloshindanisha nyimbo itakayoizidi wimbo huo. Siku kadhaa zilizopita baada ya Sugu kuachia...
View ArticleMbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV
Mbunge sugu yupo fnl kukitambulisha kichupa chake na kujibu maswali wanayomuuliza mashabiki wake ....
View ArticleP Diddy atangaza kustaafu muziki na kuhamia kwenye uigizaji
Rapper mkongwe kutoka Marekani, Sean John Combs maarufu kama P Diddy amesema anataka kustaafu kwenye muziki na kujikita zaidi kwenye uigizaji. P Diddy amesema muda siyo mrefu ataachia albamu yake ya...
View ArticleMillard Ayo hakuongelea kabisa ujio wa wimbo wa Ndindindi kwenye website yake
Jamani hivi kumbe ukiingia bifu na Clouds unakuwa na bifu na wafanyakazi pia? Millard Ayo karibia kila video mpya ya wimbo huwa ana upload kwenye website yake na kwenye Ayo TV lakini hii video ya The...
View ArticleKumbe huyu ndio "Mwewe" wa Clouds Tv
View attachment 343893 View attachment 343894 Kwenye taarifa ya Habari Clouds Tv huwa kuna segment ya mtu anajiita "Mwewe",huyu kazi yake ni kuibua kero na mwmbo mbalimbali katika jamii na kuyarusha...
View ArticleDiamond Platnumz : Atakapobugi na kujutia maisha yake yote
Leo nilikuwa interested kuangalia maisha ya diamond platnumz katika mambo ya mapenzi ma familia, jamaa kweli sijui ni matukio yanatokea automatically au yanakuwa arranged ila mambo yake ya mapenzi...
View ArticleKumbe Prince ni ngoma iliyomuondoa
Ebwana wanaJF Mzuka! Nimeshangaa kusoma mda si mref kwenye mtandao kwamba mwanamzik maaruf dunian miondoko ya Pop Prince (Si maanish huyu wakwetu aliyetubania wa kaskazin) kifo chake kilisababishwa na...
View ArticlePrincess Tiffah Dangote, followers kibao Instagram
Nilikuwa napitia pitia instagram nikashangaa kuona katoto ka Diamond kana followers 527k. Nikajiuliza ni kitu gani wanachokifuatilia? Nilipoingia sikuona la maana zaidi ya picha zake akiwa kalala,...
View ArticleIdriss Sultan : Watu wametafuna pesa zangu mpaka zimeisha
Mshindi wa big brother mwaka 2014 idris sultan tetesi zilizozagaa mitandaoni kwamba kuna mtu alimpa pesa zake kwa ajili ya lakini alizitumia kinyume na makubaliano. View attachment 343854 Ikumbukwe...
View ArticleSugu amnunulia mpenzi wake gari la kifahari!!
Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo...
View ArticleAfande Sele aachana na Uisilamu, sasa anaabudu Jua!
Yule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua Amedai baada...
View Article