![[IMG]](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/04/33A19AC200000578-3564496-Fans_also_got_to_join_the_R_B_star_as_he_brushed_his_teeth_holdi-m-143_1461877863092-1-300x194.jpg)
Rapper mkongwe kutoka Marekani, Sean John Combs maarufu kama P Diddy amesema anataka kustaafu kwenye muziki na kujikita zaidi kwenye uigizaji.
P Diddy amesema muda siyo mrefu ataachia albamu yake ya mwisho na kuachana na muziki na kufanya kazi ya filamu.
Akiongea na Ace Showbiz, Diddy amesema, “I’m going to...
P Diddy atangaza kustaafu muziki na kuhamia kwenye uigizaji