Aseee hii ni aibu au nini.... Yaani Tangazo la Vodacom lililofanywa na Simba ni maarufu kushinda nyimbo ya Askari wa wanyama pori...
Najua watu wengi hawaijui hiyo nyimbo ila lengo langu ni kwamba watu muufahamu wimbo wa askari wetu wa wanyama pori... anafanya kazi kubwa sana jamani tuonyeshe support wadau...
#Simba