Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

KORA 2016: Wapigie Kura Wanamuziki wa Kitanzania

$
0
0
View attachment 321328
Ndugu wanaJF,

Zile tuzo kubwa kuliko zote Barani Afrika zimewadia. Msimu wa Mavuno kwa wasanii wa muziki kutoka pande mbali mbali za Afrika umebisha hodi. Ni KORA-All Africa Music Awards 2016. Watanzania tusifanye makosa.

Kampuni ya Jamii Media kupitia JamiiForums, kipekee kabisa itakuwa inakujuza kila kinachojiri katika msimu huu wa Tuzo za KORA-All Music Awards 2016 ili kuhakikisha inatoa mchango/sapoti ya kutosha na kufanikisha...

KORA 2016: Wapigie Kura Wanamuziki wa Kitanzania

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Trending Articles