Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all 12682 articles
Browse latest View live

Who is Davis Elisa Mosha!!?

$
0
0
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki

Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...

Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake??...

Who is Davis Elisa Mosha!!?

Kanye West 'fired security guard because he tried to talk to his wife Kim Kardashian'

Davis Mosha, afungua studio yake!

$
0
0
Davis Mosha ambaye aliyekuwa mgombea Ubunge Moshi mjini kupitia CCM 2015, afungua studio yake. Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wake wa Facebook.

Tunaomba wenye taarifa zaidi watujuze masafa ya vipindi vya redio na Television yake.
View attachment 344732 View attachment 344733

Prince left $300 million but WHO will inherit his fortune? US judge makes official ruling

$
0
0
PRINCE tragically died last week, and has left a $300 million fortune without a will. The star’s has two ex-wives, no children and a string of half-siblings, so who’s going to get his $300 million fortune?
Last Thursday Prince was found dead in an elevator aged just 57, and left a vast estate behind with no clear heirs and no will.

The main source of Prince’s fortune came from his music, which has recently seen a boost thanks to the 2.3 million songs bought by his fans...

Prince left $300 million but WHO will inherit his fortune? US judge makes official ruling

WCB punguzeni kukopi na kupesti

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Sugu yupo tena TBC1 sasa anazungumzia tena ule wimbo wa Mr Blue, Freedom

$
0
0
Ni ile ile ishu ya kumdhulumu Mr Blue wimbo wake freedom, hizi ni kick za kujisafisha kupitia vipindi mbalimbali vya runinga. Last week alikuwa FNL, leo yupo Beatz Agenda!

Diddy aongoza orodha ya Forbes ya wana hip hop watano wenye mkwanja zaidi

$
0
0
[​IMG]

Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five.
Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na Dr Dre mwenye dola milioni 710 huku Jay Z akifuatia kwa dola milioni 610.

Mwanzilishi wa Cash Money, Birdman amefuatia katika nafasi ya nne akiwa na dola milioni 110. Drake amechukua nafasi ya 50...

Diddy aongoza orodha ya Forbes ya wana hip hop watano wenye mkwanja zaidi

PICHA: Jionee kaburi atakalozikwa Papa Wemba

$
0
0
View attachment 344729

Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kwa jina la Papa Wemba.

Huu ni zaidi ya ufahari, lakini mimi naona hauna maana..

Dudu Baya: Maisha ya umaarufu magumu sana, nashindwa kununua mihogo na vitumbua

$
0
0
[​IMG]

Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa maisha ya kuwa maarufu ni magumu sana kwani kuna wakati unashindwa kufanya vitu ambavyo wewe unapenda kutokana na kuwa na umaarufu.

Dudubaya kupitia kipindi cha Planetbongo amekiri kuwa kuna wakati anajutia maamuzi yake ya kutaka kuwa maarufu na kuwa maarufu kwani yanamfanya aishi maisha ambayo si yake kwani akifanya vitu vingine baadaye vinageuka stori mitaani na...

Dudu Baya: Maisha ya umaarufu magumu sana, nashindwa kununua mihogo na vitumbua

Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

$
0
0
[​IMG]


Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.

“Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.

Katika hatua nyingine Shilole amekanusha...

Shilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki

Ni kweli Davis Mosha kanunua Private Jet we Le Mutuz?

$
0
0
katika pita pita zangu huko instagram nikakuta William Malecela maarufu kama Lemutuz akimsifia tajiri Davis Mosha kwa kununua private jet
Lakini kuna comment iliandikwa akaifuta haraka sana nikafanikiwa kuichunguza nikakuta kumbe ni kweli.
Hapana Hii sio private jet ya Mtanzania ni plane kutoka south Africa yaani ndege ya kukodisha...registration ZS-LOV ni ya south africa na ni kampuni kabisaa ya charter sio ya Tanzania, tumpe sifa za kuwa na jeuri kukodisha ndege kwa lisaa dola 2500...

Ni kweli Davis Mosha kanunua Private Jet we Le Mutuz?

Beyonce na Jay Z watengeneza kiasi cha Bilioni 375 kwa kuwadanganya Mashabiki zao

$
0
0
[​IMG]

Beyonce na Jay Z waliamua kufanya uamuzi wa pamoja wa kuzusha tetesi za kuachana kwa lengo la kutengeneza pesa.


Uamuzi huo ulihusisha kuuza kopi nyingi za Album mpya ya Beyonce #Lemonide yenye nyimbo ambazo zinaeleza jinsi gani Jay Z amekuwa si muaminifu kwenye Ndoa yao.

Inasemekana kuwa wawili hao hawana mkwaruzano wowote ule ila lengo lilikuwa ni kuuza kopi nyingi za Album hiyo mpya.

Pia...

Beyonce na Jay Z watengeneza kiasi cha Bilioni 375 kwa kuwadanganya Mashabiki zao

Kurudi Clouds Fm; Masudi Kipanya ajigamba, ni pesa tu!

$
0
0
Masoud Kipanya amerejea tena Clouds FM baada ya kupita muda mrefu takribani miaka minane tangu aondoke. Mchoraji huyo maarufu wa katuni ya Kipanya, anasikika kwenye kipindi cha asubuhi cha Power Breakfast.

[​IMG]

Akizungumzia kurudi kwake, Masudi anasema, “Sijui kama unajua kuwa mimi Clouds nilifukuzagwa kazi! Msingi wa kutoka Clouds ni kwamba sikutoka kwasababu nilikuwa labda niko hivi hapana, tulikuwa tunafanya kazi zetu...

Kurudi Clouds Fm; Masudi Kipanya ajigamba, ni pesa tu!

Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

$
0
0
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake.

Ili kama si yeye anayepost kwenye hii akaunti aweze kuchukua hatua zinazostahili ili kulinda heshima na utu wake.
================

Mada nyingine zinazoshabihiana


Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

Harmonise "Bado" vs Raymond "Kwetu".. ipi kali.. tumalize ubishi

$
0
0
Tufahamu hapa.. maana huku mtaani watu hadi wanashikana mashati. Ipi ngoma kali hapo na nani kamfunika mwenzie ktk tungo, beat, video, swag, sauti.. n.k.

tumalize ubishi hapa.

Mimi kura yangu kwa RAYMOND.

Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather achoma dola hadharani

$
0
0
View attachment 344104 View attachment 344105

Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe

Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage mwili wake...Jamaa ana kufuru sana ya pesa

Roma: Nimechagua maisha ya Shida

$
0
0
[​IMG]

Nyota wa muziki wa Rap Bongo ‘Rhymes Of Magic Attraction’ Roma amethibitisha fununu za kuwa muziki anaoufanya umekua ni msalaba mzito kwenye maisha yake.

Akizungumza na eNewz Roma alisema kuwa hayo ndiyo maisha aliyoyachagua na ni mwanaharakati anaetetea haki na amani katika taifa lake, maendeleo bora na hicho ndicho kitu kikubwa anachojaribu kukipigania.

“Natamani nipate utawala au uongozi ambao utamfanya Roma...

Roma: Nimechagua maisha ya Shida

Sebo wa E. FM mbona hasikiki kwenye joto la asubuhi? Kuna tetesi kasepa ni kweli?

$
0
0
Kuna tetesi kuwa sebo hakufurahishwa na ujio wa gerad hando na pj pale E. fm na kuona atafunikwa kwenye kipindi cha joto la asubuh akaamua kusepa hizi tetes ni za kweli? au ni stori za kitaa?

Kingwendu kujikita zaidi kwenye muziki, sasa asaka meneja

$
0
0
[​IMG]


Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake.

Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake.

Akizungumza na Times Fm, Kingwendu alisema kuwa...

Kingwendu kujikita zaidi kwenye muziki, sasa asaka meneja
Viewing all 12682 articles
Browse latest View live