Video: Msanii NEYO awasili jijini Dar kupiga show
Msanii wa RnB kutoka Amerika maarufu kwa jina la Ne-yo amewasili leo jijini dar kwa ajili ya kupiga sho
View ArticleMakalio Yangu Hunifanya Nisivae Nguo za Ndani SNURA MUSHI
​Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni ............. nimeamini kweli biashara Matangazo!!!! msanii wa bongo movies - pichani kaamua kuyanadi makalio yake katika mitandao mbali mbali......
View ArticleWapi Sebastian Mwanangulo...
Habari zenu wakuu, Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, kama wewe ni mmoja ya wapenzi/watazamaji wa filamu za ngumi, basi kwa upande wa bongo huwezi kumwacha nguli huyo mwenye uwezo mzuri...
View ArticleMammy Baby wa Clouds... What a Presenter.!!
Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni. Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo. Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo...
View ArticleWho is Said Salim Bakhresa (Azam)?
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f, but i am curious to know who is s.s.bakhresa. Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man...
View ArticleDiamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo...
View ArticleAlikiba ajifunze lugha ya kiingereza, ameshakuwa msanii wa kimataifa
Huwa najiuliza itakuwaje siku Alikiba akiambiwa atoe japo speech ya Dk 10 kwa kiinglish sijui itakuwaje. Kama kunamtu kashawahi kumuona au kuna video ya Alikiba akiongea katika interview zaidi ya dk 5...
View ArticleShishi Baby: Msanii wa muziki wa kike mwenye wafuasi wengi Instagram TZ
Nimekuja kugundua Shilole ni msanii wa muziki wa kike mwenye wafuasi wengi TZ. Vanessa haoni ndani kwa Shishi.Niliposikia mvurugano wao ikabidi nifuatilie nikagundua Shishi anawafuasi wengi ndani ya...
View ArticleJacob Gamali wa City Fm ni zaidi ya mtangazaji
Binafsi mimi ni msikilizaji wa city fm radio ya dar es salaam,wanakipindi chao cha michezo kila siku kuanzia saa moja hadi saa mbili,katika hiko kipindi kuna mtangazaji mmoja hivi anasauti nzuri na...
View ArticleJe kuna Bifu kati Clouds Vs Diamond
Naangalia mtandao wa Milard mpaka sasa haja-post Matukio ya Diamond yoyote aliyoyafanya weekend hii Mwanza, licha ya kuwepo mwanamziki mkubwa duniani. je kuna Beef?
View ArticleLe Baharia amuonya Diva Loveness
Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati...
View ArticleLady Jaydee Haikufaa uimbe uliyoimba ndani ya Ndindindi
View attachment 333427 Nijikite Madani. Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano...
View ArticleAli Kiba, The Greatest Faker Of All Times! Youth Take Notes How To Win Big In...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama kawaida KUBWA LA MAADUI nitachambua kauli yangu kwa kina. Well researched, well written, full detailed. Throw Back...
View ArticleBaby Madaha: Mwarabu kanituliza, na kweli sasa nimetulia
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina. Baby yupo mbioni kuachia video ya wimbo...
View ArticleIngekuwa vipi urudiwe mpambano wa kwanza unit vs the diplomatiz
Nimewakumbuka sana wasanii waliotingisha muziki wa kizazi kipya miaka ya 90's Kwanza Unit (Adili -Nigger One R.I.P, D-Rob Zomba R.I.P, Kibacha -K single, Y Thang, Fresh G, Chief Ramson - Zavara) Mimi...
View ArticleNape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu
Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema. Aliyasema...
View Article(KIONJO) Diamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo...
View ArticleJustin Beiber a "mind" baada ya kutoswa nominations za Bet Awards
Hakuna atakaebisha kwamba Justin Beiber amefanya vizuri sana siku hizi za karibuni haswa kwa hii Album yake ya "Purpose" Justin beiber ameonesha ku mind baada ya jina lake kutokuwa nominated kwenye...
View ArticleKiba ampigia debe Diamond
Kuna habari mesikia mahali kuwa Kiba ameomba Watanzania wampigie kura Chibu, Baba Tiffah, Nasibu Abduli, Diamond Platinumz, kwenye tuzo Fulani za kimataifa, kwenye Kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio.
View Article