Who is Davis Elisa Mosha!!?
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi. Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza...
View ArticleKanye West 'fired security guard because he tried to talk to his wife Kim...
Kanye West 'fired security guard just before the Met Gala because he tried to talk to his wife Kim Kardashian' And Kanye West has allegedly fired a security guard after he caught him trying to talk to...
View ArticleDavis Mosha, afungua studio yake!
Davis Mosha ambaye aliyekuwa mgombea Ubunge Moshi mjini kupitia CCM 2015, afungua studio yake. Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wake wa Facebook. Tunaomba wenye taarifa zaidi watujuze masafa ya vipindi vya...
View ArticlePrince left $300 million but WHO will inherit his fortune? US judge makes...
PRINCE tragically died last week, and has left a $300 million fortune without a will. The star’s has two ex-wives, no children and a string of half-siblings, so who’s going to get his $300 million...
View ArticleWCB punguzeni kukopi na kupesti
Utasikia Jason Deluro ndio kaiga [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 344836
View ArticleVodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser. Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond,...
View ArticleSugu yupo tena TBC1 sasa anazungumzia tena ule wimbo wa Mr Blue, Freedom
Ni ile ile ishu ya kumdhulumu Mr Blue wimbo wake freedom, hizi ni kick za kujisafisha kupitia vipindi mbalimbali vya runinga. Last week alikuwa FNL, leo yupo Beatz Agenda!
View ArticleDiddy aongoza orodha ya Forbes ya wana hip hop watano wenye mkwanja zaidi
Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five. Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na Dr...
View ArticlePICHA: Jionee kaburi atakalozikwa Papa Wemba
View attachment 344729 Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kwa jina la Papa Wemba. Huu ni zaidi ya ufahari, lakini mimi naona...
View ArticleDudu Baya: Maisha ya umaarufu magumu sana, nashindwa kununua mihogo na vitumbua
Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa maisha ya kuwa maarufu ni magumu sana kwani kuna wakati unashindwa kufanya vitu ambavyo wewe unapenda kutokana na kuwa na umaarufu. Dudubaya kupitia kipindi...
View ArticleShilole: Mimi ndiye mwanamuziki mrembo zaidi kwenye muziki
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi. Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii. “Mimi ni mwanamke mzuri...
View ArticleNi kweli Davis Mosha kanunua Private Jet we Le Mutuz?
katika pita pita zangu huko instagram nikakuta William Malecela maarufu kama Lemutuz akimsifia tajiri Davis Mosha kwa kununua private jet Lakini kuna comment iliandikwa akaifuta haraka sana...
View ArticleBeyonce na Jay Z watengeneza kiasi cha Bilioni 375 kwa kuwadanganya Mashabiki...
Beyonce na Jay Z waliamua kufanya uamuzi wa pamoja wa kuzusha tetesi za kuachana kwa lengo la kutengeneza pesa. Uamuzi huo ulihusisha kuuza kopi nyingi za Album mpya ya Beyonce #Lemonide yenye nyimbo...
View ArticleKurudi Clouds Fm; Masudi Kipanya ajigamba, ni pesa tu!
Masoud Kipanya amerejea tena Clouds FM baada ya kupita muda mrefu takribani miaka minane tangu aondoke. Mchoraji huyo maarufu wa katuni ya Kipanya, anasikika kwenye kipindi cha asubuhi cha Power...
View ArticleJoyce Kiria na akaunti yake ya Facebook
Nimejaribu kupitia post za hii akaunti ya mtu anayejiita Joyce Kiria kwenye facebook lakini hizi post zinanipa wasiwasi kama kweli ni yeye kapost au ni mahasimu wake. Ili kama si yeye anayepost kwenye...
View ArticleHarmonise "Bado" vs Raymond "Kwetu".. ipi kali.. tumalize ubishi
Tufahamu hapa.. maana huku mtaani watu hadi wanashikana mashati. Ipi ngoma kali hapo na nani kamfunika mwenzie ktk tungo, beat, video, swag, sauti.. n.k. tumalize ubishi hapa. Mimi kura yangu kwa RAYMOND.
View ArticleJeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather achoma dola hadharani
View attachment 344104 View attachment 344105 Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe Pembeni akiwa...
View ArticleRoma: Nimechagua maisha ya Shida
Nyota wa muziki wa Rap Bongo ‘Rhymes Of Magic Attraction’ Roma amethibitisha fununu za kuwa muziki anaoufanya umekua ni msalaba mzito kwenye maisha yake. Akizungumza na eNewz Roma alisema kuwa hayo...
View ArticleSebo wa E. FM mbona hasikiki kwenye joto la asubuhi? Kuna tetesi kasepa ni...
Kuna tetesi kuwa sebo hakufurahishwa na ujio wa gerad hando na pj pale E. fm na kuona atafunikwa kwenye kipindi cha joto la asubuh akaamua kusepa hizi tetes ni za kweli? au ni stori za kitaa?
View ArticleKingwendu kujikita zaidi kwenye muziki, sasa asaka meneja
Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake. Msanii wa vichekesho...
View Article