![[IMG]](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2016/02/dudu-baya.jpg)
Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa maisha ya kuwa maarufu ni magumu sana kwani kuna wakati unashindwa kufanya vitu ambavyo wewe unapenda kutokana na kuwa na umaarufu.
Dudubaya kupitia kipindi cha Planetbongo amekiri kuwa kuna wakati anajutia maamuzi yake ya kutaka kuwa maarufu na kuwa maarufu kwani yanamfanya aishi maisha ambayo si yake kwani akifanya vitu vingine baadaye vinageuka stori mitaani na...
Dudu Baya: Maisha ya umaarufu magumu sana, nashindwa kununua mihogo na vitumbua