Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Nguli la mitandao ya kijamii ladai Wakenya wanamshobokea

$
0
0
Nguli la mitandao ya kijamii Afrika na balozi wa salama kondom Tanzania ametua jijini Nairobi.

Baada ya kufika tu Nairobi ameshangazwa sana na tabia ya wakenya ya kumshobokea huku wengine wakimuuliza maswali ya kiwack eti "kwanini mtu mzima kama yeye anavaa minyororo shingoni".

Baada ya kukasirishwa na maswali hayo, balozi huyo alitumia ukurasa wake wa instagram na kuweka picha na kuandika maneno haya...

Nguli la mitandao ya kijamii ladai Wakenya wanamshobokea

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Trending Articles