Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Shilole: Kuanzia sasa sitaki wanaume Suruali

$
0
0
[​IMG]

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa bidii.

Akilonga na Ri-Vibes, Shilole alisema kuwa kwa sasa ameamua kukaa singo kwa sababu ameona hakuna faida ya kuwa na mwanaume asiye na kitu.

Kuhusu Nedy Music anayedaiwa kuwa naye mara tu baada ya kumwagana na Nuh...

Shilole: Kuanzia sasa sitaki wanaume Suruali

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Latest Images

Trending Articles



Latest Images