Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Hatimaye Kiba kumkaribisha Diamond.

$
0
0
Pasipo na ubishi wala kuteteleka hili ni jambo zuri ever...baada ya Msanii Mkubwa kumtaka msanii mwenzake ambaye naye ni Mkubwa aje...nijambo jema! Nahisi huu ugomvi wale waliokuwa wananufaika nao,sasa imekula kwao...

kama haitoshi,msanii huyu king kiba uku akiwa anamkaribisha kiroho safi kaka mkubwa platnum ametumia fasihi ya hali ya juu,kwa kumuambia anamkaribisha aje na marafiki zake WCB huu ni upendo mkubwa...lakin kama haitoshi anajaribu kumtaja jina lake pasipo moja kwa kumchora kana...

Hatimaye Kiba kumkaribisha Diamond.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Latest Images

Trending Articles



Latest Images