Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

$
0
0
Heshima kwenu wakuu,

Hii video ya Snura ya Wimbo wa Chura anarukaruka, ikitoka tu naomba ifungiwe. Mkishaifungia mumpige msanii marufuku ya kujihusisha na Muziki kwa Miaka mitatu. Hatuwezi endelea kulealea huu ujinga.

Kama mliweza kuufungia Wimbo wa Roma wa Viva Roma Viva ambao haukua na tatizo katika Swala la maadili, naamin huu wimbo ukitoka msanii atawekwa mbaroni hata siku mbili.

Imetosha sasa kwa hawa dada zetu kujifanya eti wamepinda, wao ndo wanajua kukata mauni, wao ndo...

BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Trending Articles