Jioni hii nilikuwa naangalia marudio ya kipindi cha Mkasi. Nikajiuluza jambo kichwani. Hivi huyu salama J ni demu wa nani?
Maana kwa miaka nimemfahamu muda wote yupo na wanaume tu lakini anayemng'oa hajulikani.
Hata account yake ya IG sijawahi ona kapost picha ya mtu akimtaja kama mchumba. "Kama unabisha ingia ujione".
Sasa hebu watoto wa mjini kujeni hapa mtueleze, njemba gani inang'oa huyu mrembo salama J? Au ni mke wa mtu?
Hope kati ya watakaopita hapa, yupo mmoja atakuwa na jibu sahihi.