Quantcast
Channel: Celebrities Forum
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Diamond Rudi Shuleni,Ally Kiba Ni KING Kakuzidi sana

$
0
0
Kwa muda sasa nipo hapa JF lakini sijawahi kuandika swala linalohusu bongo fleva.
Lakini leo acha nitowe mtazamo wangu juu ya muziki huo.Huku nikijikita kwa Diamond na Ally Kiba
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Kiba unaitwa Lupela.
Kwa kweli nimemweshimu na kuona uwezo alionao Kiba kwenye muziki zaidi ya Diamond
Na kwa wimbo huu vipo vitu kadhaa akiweza kuvifanyia kazi,Baasi Kiba anaenda kufikisha muziki wake level kubwa.
1.Video iwe kubwa,Hii nyimbo ni mahadhi ya House music na video za aina...

Diamond Rudi Shuleni,Ally Kiba Ni KING Kakuzidi sana

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12682

Trending Articles